Watu 8 akiwemo Msaidizi wa IGP Wafariki Dunia Kwa Kusombwa na Maji Dodoma
Eneo la tukio, maaskari wakiukagua mwili wa marehemu. Gari walilopata nalo ajali
WATU 8 wamefariki dunia katika ajali iliyosababishwa na gari kusombwa na maji huku watu 6 wakiwa wa familia moja.
Kwa mujibu wa Kamanda wa polisi mkoa wa Dodoma, Davidi Misime amesema majira ya saa tatu usiku Jumapili, wananchi wa Kibaigwa walitoa taarifa jeshi la polisi kwa madai kwamba kuna gari limesombwa na maji na limetumbukia katika mkondo wa maji.
Amesema baada ya jeshi kupata taarifa hizo polisi...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV05 Jan
Watu 8 wafariki Dunia katika matukioa tofauti Dodoma.
Watu nane wamefariki dunia katika matukio tofauti ambapo kati yao sita wa Familia moja katika eneo la Kibaigwa Panda Mbili Dodoma kufatia gari walilokuwa wakisafilia lenye namba za usajili T 516 DEP kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha maeneo ya kiteto.
Aidha Mmoja kati yawaliofariki ni msaidizi wa Mkuu wa jeshi la Polisi nchini afisa Mkaguzi wa Polisi Inspeta Gerald Ryoba ambaye alikuwa akitoka mkoani Geita kuelekea jijini Dar es salaam akiwa na familia yake...
10 years ago
MichuziWatu matatu wafariki dunia Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME amesema tukio la kwanza limetokea tarehe 08/03/2015 Majira ya saa 11:00hrs huko katika kijiji cha Mundemu Kata ya Mundemu Wilaya ya Bahi Mkoa wa Dodoma mtu aliyefahamika kwa jina la LEGANGA KAZIMOTO, Mwenye miaka 40, Mkulima na Mkazi wa kijiji cha Mbalawala Manispaa ya Dodoma aliuwawa kwa kupigwa na kitu kizito sehemu mbali mbali za mwili wake na...
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Msaidizi wa IGP na familia yake wafa maji, basi laua wawili
9 years ago
Mtanzania28 Dec
Watu 19 wafariki dunia kwa kipindupindu
Na Benjamin Masese, Mwanza
SERIKALI imesema watu 631 mkoani Mwanza wameugua ugonjwa wa kipindupindu kati ya Januari hadi Desemba 15, mwaka huu ambapo kati yao 19 wamefariki dunia.
Kauli hiyo ilitolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo wakati akizungumza na madiwani pamoja watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu wiki iliyopita.
Wakati Mulongo akitoa takwimu hizo, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Dk. Lwakyendera Onesmo aliliambia MTANZNAIA jana kwamba wagonjwa wapya wameendelea...
10 years ago
Mtanzania05 Mar
Maafa Shinyanga *Barafu yafunika kijiji, watu 42 wafariki dunia *Zaidi ya 91 wajeruhiwa, mamia wasombwa na maji *Nyumba zabomolewa, mifugo mingi nayo yafa
Paul Kayanda na Kadama Malunde, Kahama
WATU 42 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 91 wamejeruhiwa vibaya baada ya mvua kubwa ya mawe iliyoambatana na upepo mkali kunyesha katika Kijiji cha Mwakata, Kata ya Isaka, Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga.
Pamoja na vifo hivyo, nyumba za makazi na majengo ya taasisi mbalimbali, yamebomolewa na mafuriko yaliyosababishwa mawe kusambaa kijiji kizima.
Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Benson Mpesya, aliiambia MTANZANIA kwa simu jana kwamba zaidi ya kaya 100...
9 years ago
StarTV03 Nov
Watu wawili wafariki dunia kwa mafuriko
Watu wawili wameripotiwa kupoteza maisha na wengine kupoteza mali zenye thamani jijini Mwanza kufuatia mafuriko yaliyosababishwa na mvua iliyonyesha majira ya saa kumi na mbili alfajiri ya leo.
Waliopoteza maisha ni pamoja na aliyekuwa mwanafunzi wa kidato cha nne aliyekuwa akiwahi shule kwa ajili ya kufanya mtihani wake wa mwisho na mmoja wa waendesha pikipiki aliyekuwa akiwawahisha wanafunzi wengine wa kidato cha nne kufanya mtihani wao wa mwisho.
Majira ya saa tatu asubuhi jijini Mwanza...
11 years ago
Tanzania Daima16 Mar
Afariki kwa kusombwa na maji
MKAZI wa Bonyokwa aliyetambuliwa kwa jina la Abuu Ally (18), ambaye ni fundi mwashi amefariki dunia juzi jijini Dar es Salaam baada ya kusombwa na maji wakati akijaribu kuvuka mto....
10 years ago
CloudsFM10 Oct
WATU SABA WAFARIKI DUNIA KWA KUTEKETEZWA NA MOTO
Watu saba wameuawa kwa kuchomwa moto ndani ya nyumba katika tukio ambalo nyumba 18 ziliteketezwa na mbili kubomolewa na wananchi waliodai wanawaua wachawi katika Kijiji cha Murufiti, Kasulu, mkoani Kigoma.
Polisi wameeleza kuwa tayari watu 17 wamekamatwa kwa kuhusika kwenye tukio hilo.
Miongoni mwa waliouawa katika tukio hilo lililotokea Jumatatu iliyopita ni John Mavumba (68) na mkewe Elizabeth Kaje 55 ambao pamoja na wenzao walikuwa wakituhumiwa kuwa ni washirikina.
Akizungumza na...
10 years ago
MichuziWATU WANNE MBARONI AKIWEMO M/KITI WA KIJIJI CHA IHANDA WILAYANI KONGWA DODOMA KWA TUHUMA ZA MAUAJI YAKIHUSISHA IMANI ZA KISHIRIKINA
Watu watatu wameuawa Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma katika matukio mawili tofauti yanayohusisha imani za kishirikina.
Akizungumzia matukio Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME – SACP amesema tukio la kwanza limetokea tarehe 01/03/2015 majira ya saa 01:00hrs katika kitongoji cha Golani, kijiji cha Masinyeti, kata ya Iduo, tarafa ya Mlali Wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma ambapo mtu mmoja...