Familia Uchina zaruhusiwa watoto wawili
Familia nchini Uchina sasa zimeruhusiwa kupata watoto wawili baada ya kuanza kutekelezwa kwa sera mpya kuhusu upangaji uzazi.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili29 Oct
Raia Uchina waruhusiwa kuzaa watoto wawili
Uchina imeamua kusitisha sera yake iliyodumu miaka mingi ya kuzitaka familia kuwa na mtoto mmoja pekee, shirika la habari la Xinhua limeripoti.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/OQbVc*b-KB-HNobtAIqsVI6AZ54HftAAo0ushB7sw3fMtSuJX1AX*ZO1l*Y7xPoNcDuaw-s12RuGzU8Rsbi8VhKgcwOjvyta/wqtoto.jpg?width=650)
WATOTO WAWILI FAMILIA MOJA WAFA PAMOJA
Stori: Juma Kapipi, Tabora
INAUMA sana! Watoto wawili wa kiume wa familia moja, Daniel Paul (8) na mdogo wake, Emmanuel Paul (3), wamepoteza maisha wakiwa pamoja baada ya kuteketea kwa moto ndani ya nyumba. Miili ya watoto wawili, Daniel Paul na mdogo wake, Emmanuel Paul ikitolewa eneo la tukio. Katika tukio lililojiri majira ya saa 1:00 asubuhi, maeneo ya Mtaa wa Rufita, Mwanza-Road mjini hapa baada ya nyumba waliyokuwa...
11 years ago
Michuzi26 Apr
MAMA ALIYEZAA WATOTO WANNE APELEKWA KATIKA KITUO MAALUMU NA WATOTO WAKE WAWILI WALIOBAKI KWA AJILI YA UANGALIZI.
UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya kupitia kitengo cha Ustawi wa jamii umemtafutia kituo cha kulelea watoto wa mitaani cha Nuru Ophans Centre Mama aliyejifungua mapacha wanne na kubakia wawili baada ya kuugua Nimonia kwa ajili ya uangalizi wa karibu.
Hatua hiyo imekuja baada ya uongozi wa Hospitali hiyo kumfuata mama mwenye watoto hao Aida Nakawala(25) pamoja na mapacha wake waliobaki kutoka kijijini kwao Chiwanda Wilaya ya Momba mkoani hapa na kuwalaza hospitalini hapo kwa uangalizi...
9 years ago
Mwananchi05 Jan
Msaidizi wa IGP na familia yake wafa maji, basi laua wawili
Watu wanane akiwamo msaidizi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi, Mkaguzi wa Polisi, Gerald Ryoba na familia yake wamekufa baada ya kusombwa na maji katika eneo la Kibaigwa wilayani Kongwa baada ya mvua kubwa iliyonyesha katika eneo hilo.
10 years ago
BBCSwahili30 Mar
Familia ya Watoto 9 na ulemavu wa macho
Amini usiamini ,Familia moja nchini Kenya inajumla ya watoto 9 wenye ulemavu wa macho
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55I4H3ThZufk6mWGSBkNVRVTeZ-pD1rMYsPHfF8y9JXHmGxxl2F6MgCNkiGljdAYRfcLNUrsBgUP-BtNayC5di6C/WATOTO.jpg?width=650)
WATOTO WAWILI WA KIKE WABAKWA
Stori:Â Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani
WIMBI la ubakaji wa watoto wadogo limeendelea, baada ya watu wawili kuripotiwa kuwabaka wasichana wadogo wa kike katika matukio mawili tofauti wiki iliyopita. Huko Mbagala Zakhem, jijini Dar, kijana aliyefahamika kwa jina moja la Robert alimbaka mtoto mwenye umri wa miaka tisa baada ya kumnywesha bia na baadaye kumchoma kwa kisu chenye moto katika harakati za kulazimisha kitendo...
11 years ago
Mwananchi07 May
‘Wako wapi watoto wangu, familia yangu?’
>Ama kweli ajali haichagui maskini wala tajiri. Inasikitisha kwani ni mwanamke asiye na uwezo anayeishi kufanya biashara ya kuuza ndizi anazotembeza barabarani. Hata hivyo, hivi sasa maisha yake yamezidi kuwa magumu kwa kuwa hajui familia yake ilipo.
11 years ago
Habarileo12 Apr
Polisi waokoa watoto 4 wa familia moja waliotekwa
VITENDO vya utekaji nyara watu vimeibuka jijini Dar es Salaam baada ya watu watano wenye asili ya kiarabu kutekwa wakiwemo watoto wanne wa familia moja na baadaye kuokolewa na polisi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LxUWhj8CVoaeuARzY7v3Md1pJwvTGXZNRhlXe*zgIFVDwXzbUbynDK6BAgshRLFNMjD5Bcl3XJCL5OHeEZbikzs*UGnlkMVI/WATOTO1.jpg?width=650)
WATOTO WAWILI WALIPULIWA KWA PETROLI
Haruni Sanchawa na Roda Josiah, Bagamoyo WATOTO wawili wa familia moja, Nuru (3) na Dora Kaitaba (2), wamefariki dunia kwa kuungua moto hadi kubaki majivu baada ya moto mkubwa uliotokana na petroli kulipuka nyumbani kwao, Mapinga, Bagamoyo mkoani Pwani. Mtoto Dora Kaitaba (2) wakati wa uhai wake. Tukio hilo lililowaliza wengi, lilijiri saa tatu usiku, Jumapili iliyopita watoto hao wakiwa ndani na baba yao.
Kwa mujibu wa...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania