Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Familia ya Watoto 9 na ulemavu wa macho

Amini usiamini ,Familia moja nchini Kenya inajumla ya watoto 9 wenye ulemavu wa macho

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AITEMBELEA FAMILIA YA WATOTO SITA WENYE ULEMAVU, PEMBA

Na Hassan Hamad, OMKR
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, leo ameitembelea na kuifariji familia ya Bw. Saleh Juma Saleh yenye watoto sita wenye ulemavu.
Akizungumza na familia hiyo nyumbani kwao Kinyasini Mkarafuuni Wilaya ya Wete Pemba, katika mfululizo wa ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Mkoa wa Kaskazini Pemba, Maalim Seif ameitaka kuwa na subra na upendo kwa watoto hao wakielewa kuwa huo ni mtihani kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
Amemuagiza Mkuu Mkuu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AKAGUA FAMILIA YENYE WATOTO SITA WENYE ULEMAVU

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa pamoja na familia ya Bw. Saleh Juma Saleh (mwenye mtoto), yenye watoto sita wenye ulemavu wa aina tofauti, huko nyumbani kwao Kinyasini Mkarafuuni Wilaya ya WeteMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa pamoja na familia ya Bw. Saleh Juma Saleh (mwenye mtoto), yenye watoto sita wenye ulemavu wa aina tofauti, huko nyumbani kwao Kinyasini Mkarafuuni Wilaya ya Wete.(Picha na OMKR) 
Na:...

 

10 years ago

Habarileo

Watoto wabakwa, walawitiwa, watobolewa macho

VITENDO vya ukatili kwa watoto ni changamoto kubwa katika Manispaa ya Shinyanga mkoani hapa kutokana na kuripotiwa watoto 140 waliobakwa, kutobolewa macho, kulawitiwa, kutelekezwa na wengine kupoteza maisha.

 

10 years ago

Mtanzania

Barnaba: Tusiwatenge watoto wenye ulemavu

BARNABANA RUTH MNKENI
WIMBO wa ‘Tuwapende’ wa msanii wa Bongo Fleva, Barnaba umetumika katika kampeni ya kuhamasisha jamii isiwatenge watoto wenye ulemavu wa akili.
Barnaba alionyesha kwa vitendo kuhamasisha jamii hiyo kupitia wimbo wake huo huku akicheza na baadhi ya watoto hao waliokuwa wamekusanyika katika matembezi hayo mwishoni mwa wiki.
“Mimi kwa kweli niliguswa ndiyo maana nikatoka na wimbo huo kwa kuwa naamini hakuna mtu anayependa kupata mtoto mwenye ulemavu wowote na ikitokea hivyo huwa...

 

10 years ago

Mtanzania

Watoto wenye ulemavu wamkuna Natasha

natashaNA GEORGE KAYALA
MWIGIZAJI Susan Humba ‘Natasha’ amewataka wenye makampuni ya uandaaji wa filamu za bongo kuwatumia watoto wenye vipaji ambao wana ulemavu wa viungo.
Natasha alitoa kauli hiyo kwa watoto hao wenye ulemavu wa viungo wanaosoma Shule ya Sekondari Jangwani, jijini Dar es Salaam, baada ya kuonyesha uwezo wao wa kuigiza mbele yake.
Wanafunzi hao walionesha vipaji vyao mwishoni mwa wiki iliyopita, wakati wa uzinduzi wa shirika lisilo la kiserikali la Save Vulnerable Foundation...

 

9 years ago

StarTV

Wazazi watakiwa kutowaficha watoto wenye ulemavu

Wazazi wa watoto wenye ulemavu katika mkoa wa Tanga wameendelea kulaani tabia ya wazazi kuwaficha watoto wao majumbani badala ya kuwapeleka shuleni kupata elimu na maarifa yatakayowasaidia kwenye maisha yao.

Wazazi hao walikuwa wakizungumza katika hafla iliyowakutanisha walemavu kwenye kituo cha watoto wenye ulemavu cha YDCP kama sehemu ya kujumuika nao kusherehekea sikukuu ya Krismasi.

Wazazi hao wamesema ipo sababu ya msingi ya kuondokana na tabia ya kuwaficha watoto wenye ulemavu...

 

10 years ago

GPL

WATOTO WENYE ULEMAVU WAWAPONGEZA FPCT NA ERIKS

Mmoja wa watoto wenye ulemavu, Kashindye Athumani aliyenufaika na mpango huo. Watoto wenye ulemavu katika maeneo mbalimbali ya Tanzania wameipongeza taasisi ya Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT) na wadhamini wake, ERIKS kwa kuwawezesha kuwa na nguvu ya kueleza mahitaji na changamoto zao kwa wazazi, serikali na jamii inayowazunguka. Wakizungumzia mradi huo unaowahusu wao, watoto hao wamesema umewawezesha kuzijua haki zao...

 

11 years ago

Mwananchi

Njia bora za kuwasaidia watoto wenye ulemavu

Katika jamii yetu wanazaliwa watoto wenye hitilafu mbalimbali kama vile ulemavu wa viungo, upofu wa macho, ubovu wa masikio, kutoweza kuongea na pia mtindio wa ubongo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Brazil:Homa ya Zika husababisha ulemavu wa watoto

Brazil imetangaza kuwa kuna uhusiano kati ya homa kali inayosambazwa na mbu kutoka Afrika na idadi kubwa ya watoto wanaozaliwa na ulemavu nchini humo .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani