Brazil:Homa ya Zika husababisha ulemavu wa watoto
Brazil imetangaza kuwa kuna uhusiano kati ya homa kali inayosambazwa na mbu kutoka Afrika na idadi kubwa ya watoto wanaozaliwa na ulemavu nchini humo .
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi04 Jul
Tattoo husababisha maradhi ya ngozi, kuzaa watoto walemavu
11 years ago
Habarileo09 Mar
RC Dar ataka tahadhari homa ya ini kwa watoto
MKOA wa Dar es Salaam umesema watoto waliozaliwa kabla ya mwaka 2008 hawana kinga ya ugonjwa wa homa ya ini, hivyo imeagiza Manispaa zote kuwapima na kuwapatia kinga ili kukabiliana na ugonjwa huo hatari. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki alisema hayo leo katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani na kuwasisitiza wanawake kuhakikisha wanapatiwa chanjo ya ugonjwa huo hasa wakati wa ujauzito.
10 years ago
BBCSwahili30 Mar
Familia ya Watoto 9 na ulemavu wa macho
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Watoto wenye ulemavu wamkuna Natasha
NA GEORGE KAYALA
MWIGIZAJI Susan Humba ‘Natasha’ amewataka wenye makampuni ya uandaaji wa filamu za bongo kuwatumia watoto wenye vipaji ambao wana ulemavu wa viungo.
Natasha alitoa kauli hiyo kwa watoto hao wenye ulemavu wa viungo wanaosoma Shule ya Sekondari Jangwani, jijini Dar es Salaam, baada ya kuonyesha uwezo wao wa kuigiza mbele yake.
Wanafunzi hao walionesha vipaji vyao mwishoni mwa wiki iliyopita, wakati wa uzinduzi wa shirika lisilo la kiserikali la Save Vulnerable Foundation...
10 years ago
Mtanzania04 May
Barnaba: Tusiwatenge watoto wenye ulemavu
NA RUTH MNKENI
WIMBO wa ‘Tuwapende’ wa msanii wa Bongo Fleva, Barnaba umetumika katika kampeni ya kuhamasisha jamii isiwatenge watoto wenye ulemavu wa akili.
Barnaba alionyesha kwa vitendo kuhamasisha jamii hiyo kupitia wimbo wake huo huku akicheza na baadhi ya watoto hao waliokuwa wamekusanyika katika matembezi hayo mwishoni mwa wiki.
“Mimi kwa kweli niliguswa ndiyo maana nikatoka na wimbo huo kwa kuwa naamini hakuna mtu anayependa kupata mtoto mwenye ulemavu wowote na ikitokea hivyo huwa...
10 years ago
GPLWATOTO WENYE ULEMAVU WAWAPONGEZA FPCT NA ERIKS
9 years ago
StarTV18 Dec
Wazazi watakiwa kutowaficha watoto wenye ulemavu
Wazazi wa watoto wenye ulemavu katika mkoa wa Tanga wameendelea kulaani tabia ya wazazi kuwaficha watoto wao majumbani badala ya kuwapeleka shuleni kupata elimu na maarifa yatakayowasaidia kwenye maisha yao.
Wazazi hao walikuwa wakizungumza katika hafla iliyowakutanisha walemavu kwenye kituo cha watoto wenye ulemavu cha YDCP kama sehemu ya kujumuika nao kusherehekea sikukuu ya Krismasi.
Wazazi hao wamesema ipo sababu ya msingi ya kuondokana na tabia ya kuwaficha watoto wenye ulemavu...
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Njia bora za kuwasaidia watoto wenye ulemavu
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Muziki watumika kuwasaidia watoto wenye ulemavu wa akili