WATOTO WAWILI WALIPULIWA KWA PETROLI
Haruni Sanchawa na Roda Josiah, Bagamoyo WATOTO wawili wa familia moja, Nuru (3) na Dora Kaitaba (2), wamefariki dunia kwa kuungua moto hadi kubaki majivu baada ya moto mkubwa uliotokana na petroli kulipuka nyumbani kwao, Mapinga, Bagamoyo mkoani Pwani. Mtoto Dora Kaitaba (2) wakati wa uhai wake. Tukio hilo lililowaliza wengi, lilijiri saa tatu usiku, Jumapili iliyopita watoto hao wakiwa ndani na baba yao. Kwa mujibu wa...
GPL