Watoto wawili wateketea kwa moto
WATOTO wawili wa familia moja mjini Tabora, wamefariki dunia baada ya kuteketezwa kwa moto ndani ya nyumba walimokuwa wamelala. Tukio hilo lilitokea jana saa 1 asubuhi katika Mtaa wa Ulaya,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eHhH0wF8G5BCdUyK6QlOmW-Dtyr5x7Gd8uoh27csJ7JagI7-SdpExDIAhzYZqpzOt2BZZaKr4LrYlTR8KYODFqcLqwEYVYt7/MOTOMWANZA5.jpg?width=750)
WATOTO WAWILI WATEKETEA KWA MOTO KIJIJI CHA MBELA, MWANZA
9 years ago
Mwananchi24 Sep
Bibi na wajukuu wawili wateketea kwa moto
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Watoto wa familia moja wateketea kwa moto Mbeya
9 years ago
StarTV25 Nov
Watoto wawili wafariki Dihombo Mvomero baada ya Nyumba kuteketea Kwa Moto
Watoto wawili wa familia moja wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa baada ya nyumba walimokuwa wakiishi kuteketea kwa moto katika kijiji cha Dihombo wilayani Mvomero mkoani Morogoro.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana wakati watoto hao watatu wakiwa wamelala peke yao, mama yao mzazi akiwa ameenda kanisani.
Mmoja wa watoto hao aliwasha kibatari kwa lengo la kwenda kujisaidia lakini kwa bahati mbaya kibatari hicho kililipuka na moto kuanza kusambaa nyumba nzima.
Watoto waliofariki...
10 years ago
Mtanzania14 Aug
Msikiti wa Mtambani wateketea kwa moto
![Msikiti wa Mtambani ukiwaka moto](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/msikiti-mtambani.jpg)
Msikiti wa Mtambani ukiwaka moto
Na Mwali Ibrahim, Dar es Salaam
MSIKITI wa Mtambani, uliopo Kinondoni, jijini Dar es Salaam umeteketea kwa moto.
Moto huo ulianza kuwaka kabla ya sala ya Magharibi katika sehemu ya madarasa ya Shule ya Msingi Mtambani, iliyopo katika majengo ya msikitini huo.
“Moto ulianza kuwaka katika eneo la mabweni ya wanafunzi yaliyopo katika shule hii, lakini kwa bahati nzuri juhudi kubwa zilifanywa ili kuokoa maisha yao.
“Ila kwa bahati mbaya vitu vyote vilivyokuwa...
10 years ago
GPLMSIKITI WA HINDU DAR WATEKETEA KWA MOTO
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-cWaEsBYdR2c/VNXxwIOhY9I/AAAAAAAAPos/3JclIWC3swk/s72-c/IMG-20150207-WA0066.jpg)
WATU SITA WATEKETEA KWA MOTO KIPUNGUNI, DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-cWaEsBYdR2c/VNXxwIOhY9I/AAAAAAAAPos/3JclIWC3swk/s640/IMG-20150207-WA0066.jpg)
9 years ago
Mwananchi27 Aug
Watu tisa wa familia moja wateketea kwa moto Dar
10 years ago
Mtanzania13 Apr
Basi lawaka moto, abiria 18 wateketea
NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO
WATU 18 wameteketea kwa moto na wengine 11 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori na kuwaka moto.
Ajali hiyo ilitokea jana saa mbili asubuhi katika Kijiji cha Msimba kilichopo Tarafa ya Mikumi, Barabara kuu ya Morogoro–Mbeya ikihusisha basi la Kampuni ya Nganga lenye namba za usajili T 373 DAH lililokuwa likitoka Kilombero mkoani Morogoro kuelekea Mbeya.
Lori lililogongana na basi hilo lenye namba za usajili T 164 BKG aina...