Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madereva walevi wa mabasi wakiona cha moto

Mabasi yakiwa Ubungo.MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA), imefungia kwa miezi sita leseni za udereva za madereva sita wa mabasi wa mkoani Arusha na kuwafikisha mahakamani kwa tuhuma ya ulevi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wauzaji mbolea Mbeya wakiona cha moto

Kampuni tatu zinazouza mbolea jijini hapa, juzi zilitishiwa kufungiwa maduka yao na Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea (TFRA) baada ya kuvunja sheria za mauzo.

 

10 years ago

Vijimambo

MAJAMBAZI WAKIZUNGU WAWILI KUTOKA ITALI WAKIONA CHA MOTO KWA KUPIGWA NA RISASI


SEHEMU YA KITI ALIPOKAA NA KUPIGWA RISASI,Habari zinasema kuwa polisi mkoani dar es salaam jana mchana walifanikiwa kuwatia mbaroni majambazi wawili ambao inasemekana ni raia wa italia baada ya kupora kiasi cha dola elfu kumi kwa mwananchi ndipo polisi walipoanza mapambano nao na hadi kuwatia nguvuni baada ya luwadhibiti na risasi.PICHA ZOTE KWA MSAADA WA http://jijiletublog.blogspot.com/WAKIWA NJE YA APARTMENT YAO WALIKOKIMBILIAGARI WALIYOTUMIA KUPORAPOLISI WAKIWATIA KWENYE GARI MARA BAADA...

 

10 years ago

Mwananchi

Utafiti: Madereva huendesha wakiwa walevi

Utafiti uliofanywa na Serikali kuhusu ajali za barabarani umebaini kuwa baadhi ya madereva wa mabasi ya abiria wanaendesha wakiwa wamelewa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Breaking News!!!  Mabomu ya Machozi yanarindima muda huu Kituo cha Mabasi Ubungo hali mbaya mgomo wa madereva

11088108_826634080706798_1441278712_n

Katibu wa  Madereva Mboka akiongea na wandishi wa Habari muda huu, kabla ya mabomu hayajarindima

…Mgomo wa Mabasi kuwa endelevu hadi watakapo achiwa viongozi wao wanaoshikiliwa na jeshi la Polisi

Na Andrew Chale wa Modewji blog

Modewji blog ambayo imepiga kambi katika kituo cha Mabasi Ubungo kuanzia majira ya saa 11, alfajiri, ni kuwa tayari baadhi ya viongozi wa madereva wametoa tamko  rasmi kuwa mgomo wao huo utaendelea hadi hapo viongozi wao wakuu zaidi ya Sita (6) wanaoshikiliwa na...

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA LATOA ONYO KWA WAVURUGA AMANI PAMOJA NA MADEREVA WALEVI NA WASIOZINGATIA SHERIA

Na.Vero Ignatus,Arusha.
Jeshi la polisi mkoani Arusha limetoa onyo kwa watu wachache wanaopenda kuvuruga amani katika kipindi cha sikukuu na kuwataka waache mara moja kuwa na fikra hizo kwani watachukuliwa hatua za kisheria.
Akizungumza Kamanda wa polisi mkoani hapa Jonathan Shana amesema kuwa kwa upande wa madereva wa vyombo vya usafiri ni marufuku kuendesha vyombo hivyo wakiwa wamelewa ,mwendokasi pamoja na kujaza abiria kupita kiasi kwani hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yaoAidha...

 

11 years ago

Habarileo

Madereva wa mabasi wagoma

ABIRIA waliokuwa wanasafiri kwa mabasi kutoka Kanda ya Ziwa kuelekea mikoa ya Pwani na Kaskazini, juzi walijikuta wakilazimika kuchelewa kufika mjini Singida kwa zaidi ya saa tatu kutokana na mgomo wa madereva wao.

 

10 years ago

Habarileo

Madereva mabasi kama wa bodaboda

Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga, akitoa takwimu za vifo vilivyotokana na ajali za barabarani kati ya Januari Mosi mwaka huu hadi Aprili 12, sawa na siku 102 vifo 969.WAKATI ajali za barabarani zikiendelea kumaliza nguvu kazi ya Taifa na kuumiza vichwa vya Watanzania kuhusu suluhisho la ajali hizo, imefahamika moja ya tatizo sugu ni kukosekana kwa madereva wenye taaluma stahiki, ingawa wana leseni.

 

11 years ago

Habarileo

Madereva wa mabasi, bajaj wasutana

WAMILIKI na madereva wa mabasi ya daladala mkoani Kigoma wamezitaka mamlaka zinazosimamia upangaji njia na vituo vya kushusha abiria kupangia bajaj maeneo yao, maalumu kuondokana na migongano iliyopo sasa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani