Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AFCON:Mzunguko wa kwanza wakamilika

Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika,zinaendelea nchini Equatorial Guinea zilikamilisha mzunguko wa kwanza kwa timu zote 16.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mzunguko wa Lala salama

Baada ya kuwa katika mapumziko ya takribani miezi mitatu, Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo inaingia katika mzunguko wa pili wa lala salama, ambapo nyasi za viwanja vinne zitahitaji maji ili kuzima moto wa timu nane zitakazoshuka dimbani kukwaana.

 

11 years ago

GPL

MZUNGUKO WA VPL KUANZA JUMAMOSI

Mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara unaanza Jumamosi (Januari 26 mwaka huu) kwa mechi tano katika miji ya Bukoba, Dar es Salaam, Tanga wakati mechi ya Tanzania Prisons na Ruvu Shooting inahamishiwa uwanja mwingine. Ashanti United itacheza na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa, Coastal Union itacheza na Oljoro JKT katika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga wakati Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kimbunga chenye mzunguko tofauti

Je, kimbunga hicho huzunguka upande upi? vimbunga vingi vya eneo la kaskazini huzunguka kulia kushoto katika mji wa Colorado

 

11 years ago

GPL

KUVURUGIKA KWA MZUNGUKO WA HEDHI

Mzunguko wa hedhi umegawanyika katika maeneo makuu mawili. Kuna ule unaopevusha mayai ‘Ovulatory Cycle’ na usiopevusha mayai ‘Anovulatory Cycle’. Aina hizi za mizunguko tutakuja kuziona kwa undani katika makala zijazo, lakini mzunguko unaopevusha mayai mwanamke anapata ute wa uzazi ambao unavutika na anaweza kupata ujauzito. Mzunguko usiopevusha mayai mwanamke hawezi kupata ujauzito ingawa katika ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mzunguko wa nne kombe la FA hadharani

Droo ya kupanga mechi za raundi ya nne ya Kombe la FA imefanyika

 

10 years ago

GPL

9 years ago

Mwananchi

Tunataka tiketi za kielektroniki mzunguko wa pili wa ligi

Mwanzoni mwa mwaka jana Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilisitisha matumizi ya tiketi za kielektroniki kwenye viwanja vyote vinavyotumika kwa mechi za Ligi Kuu Bara mpaka itakapotolewa taarifa nyingine.

 

11 years ago

Mwananchi

Tunatarajia haki zaidi mzunguko wa pili wa ligi

Mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara unaanza kesho kwenye viwanja tofauti baada ya ligi hiyo kupumzika kwa taribani miezi mitatu kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka.

 

11 years ago

Mwananchi

TFF kuweni makini mzunguko wa pili wa ligi

Mzunguko wa pili na mwisho wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2013/14 unaanza Jumamosi ijayo kwa timu mbalimbali kushuka viwanjani kuwania pointi tatu muhimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani