Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MZUNGUKO WA VPL KUANZA JUMAMOSI

Mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara unaanza Jumamosi (Januari 26 mwaka huu) kwa mechi tano katika miji ya Bukoba, Dar es Salaam, Tanga wakati mechi ya Tanzania Prisons na Ruvu Shooting inahamishiwa uwanja mwingine. Ashanti United itacheza na Yanga kwenye Uwanja wa Taifa, Coastal Union itacheza na Oljoro JKT katika Uwanja wa Mkwakwani, Tanga wakati Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

VPL KUANZA KUTIMUA VUMBI JUMAMOSI

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu wa 2015/2016 inatazamiwa kuanza kutimua vumbi jumamosi Septemba 12, 2015 kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja tofauti nchini.
Ndanda FC ya Mtwara watakua wenyeji wa Mgambo Shooting katika uwanja wa Nagwanda Sijaona mjini Mtwara, Wana kimanumanu African Sports watawakaribisha Simba SC katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga, huku Wana Lizombe Majimaji wakiwa wenyeji wa maafande wa JKT Ruvu katika uwanja wa Majimaji mjini Songea.
Azam FC...

 

9 years ago

Vijimambo

VPL KUANZA KUTIMUA VUMBI JUMAMOSI, ANGALIA TIMU YAKO INAANZA NA NANI…

Hapa ni Yanga wakikabiziwa kombe la VPL 2014-2015
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu wa 2015/2016 inatazamiwa kuanza kutimua vumbi Jumamosi Septemba 12, 2015 kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja tofauti nchini.
Ndanda FC ya Mtwara watakua wenyeji wa Mgambo Shooting katika uwanja wa Nagwanda Sijaona mjini Mtwara, Wana ‘kimanumanu’ African Sports watawakaribisha Simba SC katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga, huku Wana ‘Lizombe Majimaji’ wakiwa wenyeji wa maafande wa JKT Ruvu katika...

 

11 years ago

GPL

11 years ago

Michuzi

Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuanza septemba 20, 2014

Michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara msimu wa 2014/2015 itaanza kutimua vumbi Septemba 20 mwaka huu.
Awali michuano hiyo ilikuwa ianze Agosti 24 mwaka huu, lakini Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania limelazimika kuisogeza mbele kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kupitisha michuano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame).
Michuano ya Kombe la Kagame inayoshirikisha mabingwa wa nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika...

 

10 years ago

Michuzi

MICHUANO YA KAGAME KUANZA JUMAMOSI

 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - RELEASE NO. 121 TAREHE 13 JULAI 2015 Michuano ya Kombe la Vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Cecafa Kagame Cup) inatarajiwa kuanza kutimua vumbi siku ya Jumamosi tarehe 18 Julai 2015 jijini Dar es salaam, kwa kushirikisha timu 13 kutoka nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Soka kwa Nchi za Afrika Mashariki na kati.
Mashindano ya CECAFA Kagame Cup ni mashindano makongwe barani Afrika ambayo yalianza mwaka 1967 kwa kushirikisha timu za ukanda wa Afrika...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkutano wa G20 kuanza Jumamosi Australia

Viongozi mbalimbali duniani wameanza kuwasili mjini Brisbane kuhudhuria mkutano wa G20

 

10 years ago

Vijimambo

DARASA LA KISWAHILI KUANZA JUMAMOSI HII - JAN 24, 2015


I would like to inform you that the first Swahili class will be on Saturday January 24 2015 from 3:00pm - 5:00pm. We will meet at White Oak Community Recreation Center located at 1700 April Lane, Silver Spring, MD 20904. You can call the community center for inclement weather and closures ONLY at (240) 777-6940. 

Any question about the Swahili class please call
Iddy - President at ‪(301) 613‑5165‬Harriet- Vice President (240) 672‑1788‬Asha -Instructor (301) 793-2833Bernadeta - Vice...

 

9 years ago

Dewji Blog

Onyesho la Coke Studio kuanza Jumamosi wiki hii

Screen Shot 2015-10-06 at 1.23.45 PM

-Wasanii wa Tanzania Ali Kiba,Fid Q na Vanessa kuwasha moto

 Wasanii nguli kutoka Tanzania wataungana na wasanii wengine 27 barani Afrika katika msimu wa tatu wa maonyesho ya  burudani ya muziki maarufu kwa jina la  Coke Studio Afrika ambalo litaanza Jumamosi wiki hii .Onyesho la mwaka huu ni tofauti na yaliyopita kwa kuwa litaendana na mabadiliko yaliyopo katika muziki duniani “Kolabo”na litarushwa na kituo cha televisheni cha Clouds kuanzia saa 12  jioni.

Meneja wa Biashara za Coca-Cola...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani