Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali yaanza kusambaza kompyuta vyuoni

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali kwa sasa imeanza kusambaza kompyuta katika vyuo vikuu nchini kwa lengo la kuboresha elimu kwa wanafunzi. Pia, amesema baadaye Serikali itaanza kusambaza kompyuta ndogo zinazobeba vitabu kidijitali, maarufu kama tabuleti (tablets) kwa wanafunzi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Serikali yaanza kusambaza Katiba Inayopendekezwa

Waziri Migiro

Waziri Migiro akiongea na baadhi ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo.

Na Mwandishi Wetu

Serikali imeanza kusambaza nakala milioni mbili za Katiba Inayopendekezwa nchini kote ili kuwawezesha wananchi kuisoma na kushiriki katika Kura ya Maoni iliyopangwa kufanyika tarehe 30 Aprili mwaka huu.

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro amesema leo (Jumatano, Februari 11, 2015) jijini Dar es Salaam kuwa kati ya nakala hizo zilizochapwa jijini Dar es Salaam, nakala 1,800,000...

 

10 years ago

Mwananchi

MSD yaanza kusambaza dawa

>Bohari Kuu ya Dawa (MSD) imeanza kusambaza dawa katika hospitali mbalimbali nchini, baada ya kupokea kiasi cha Sh20 bilioni ambazo ni sehemu ya malipo ya deni linaloidai Serikali.

 

10 years ago

Dewji Blog

NEC yaanza mafunzo ya uchambuzi wa mifumo ya Kompyuta

_DSC0093

Afisa Mchambuzi wa Mifumo ya Computer wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Amos Madaha akizungumza katika semina ya siku nne ya matumizi ya fomu mbalimbali za uandikishwaji wa wapiga kura (BVR) ya mafunzo kwa zaidi ya wachambuzi 500 yanayofanyika jijini Dar es Salaam.  Afisa Mchambuzi wa Mifumo ya Computer wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Adolf Kinyero akizungumza katika semina ya siku nne ya matumizi ya fomu mbalimbali za uandikishwaji wa wapiga kura (BVR) ya mafunzo kwa zaidi ya...

 

10 years ago

Vijimambo

ZANZIBAR YAANZA KUTUMIA MFUMO WA ELEKRONIKI KUSAMBAZA NA KUPATA TAARIFA YA MADAWA VITUONI

Mfamasia Mkuu wa Zanzibar Habib Ali Shariff akitoa maelezo kuhusu Mfumo mpya wa Kielectroniki wa Ugavi wa madawa jinsi unavyofanyakazi zake kwa haraka, katika hafla ya uzinduzi wa mfumo huo. Uliofanyika Park Hyatt Hotel Shangani Mjini Zanzibar.Mkurugenzi wa Shirika la John Snow Incorporated (JSI) nchini, Deo Kimera akitoa nasaha zake kwa Viongozi na Maafisa wa Afya waliopata elimu juu ya matumizi ya mfumo mpya wa Ugavi wa madawa wa kielektroniki walioshiriki katika hafla ya uzinduzi wa mfumo...

 

11 years ago

Mwananchi

Kweli Serikali itadhibiti ada kubwa vyuoni?

Kwa muda mrefu wananchi wa kada mbalimbali wamekuwa wakilalamika kuhusu karo kubwa zinatozwa shuleni na katika vyuo vya elimu ya juu.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kusambaza vipimo vya ebola

Dar es Salaam. Serikali imepanga kununua mashine maalumu za kupima joto (thermo-scanners) ili kubaini watu wenye maambukizi ya virusi vya ebola katika viwanja vyote ndege nchini.

 

10 years ago

Michuzi

Serikali yajipanga kutumia nguzo za zege kusambaza umeme

Wataalam wa Sekta ya Umeme kutoka Wizara ya Nishati na Madini pamoja na Shirika la Umeme nchini (Tanesco), wakiongozwa na Kamishna Msaidizi wa Umeme Mhandisi Innocent Luoga (wa kwanza kushoto), wakiwa katika mazungumzo na wawakilishi wa Kampuni ya Sunshine Group Ltd (Kulia). Mazungumzo yalifanyika hivi karibuni Makao Makuu ya Wizara, jijini Dar es Salaam na yalihusu uanzishwaji wa Kiwanda cha kutengeneza nguzo za umeme za zege kwa ajili ya kusambaza umeme nchini.Ujumbe kutoka Kampuni ya...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaanza kudhibiti Shilingi

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum.SERIKALI imesema imeshaanza kuchukua hatua za kudhibiti kuporomoka kwa kasi kwa Shilingi. Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Fedha Masoko wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Alexander Ng’winamila, alisema kamwe Serikali haiwezi kulikalia kimya suala hilo.

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAANZA RASMI BIASHARA YA MAFUTA

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani( wa tatu kushoto), Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said( kushoto), Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu( pili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima( katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mendeleo ya Petroli Tanzania ( TPDC) Dkt. James Mataragio (wa tatu kulia) na Viongozi wa Waandamizi wa Wizara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani