Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SERIKALI YAANZA RASMI BIASHARA YA MAFUTA

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani( wa tatu kushoto), Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said( kushoto), Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu( pili kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Malima( katikati), Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Mendeleo ya Petroli Tanzania ( TPDC) Dkt. James Mataragio (wa tatu kulia) na Viongozi wa Waandamizi wa Wizara...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

PDB YAKIRI KODI ZA BIASHARA SIZIZO RASMI HUISHIA KATIKA MIFUKO YA WATU NA SIO SERIKALI.

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti ya Vyuo Vikuu vya Afrika ya Kati na Kusini (ESAURP),Profesa Teddy Maliyamkono akifanya mahojiano mafupi na Waandishi wa habari mara baada ya kumaliza mkutano wa kuwajengea uwezo sekta biashara zisizo rasmi  iliofanyika leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.Baadhi ya Wadau na Wanahabari  wakifuatilia mkutano wa uzinduzi wa mradi wa kuwajengea uwezo wajasiriamali wadogo na wakati kuhuisha biashara zao ili kupata huduma za...

 

9 years ago

Habarileo

TPDC yaanza utafiti mpya wa mafuta na gesi Eyasi

SHIRIKA la Maendeleo la Petroli Tanzania (TPDC) leo linatarajiwa kuanza utafiti wa awali wa mafuta na gesi kwa kutumia ndege katika eneo la kitalu cha Eyasi, Wembere na Mandawa . Utafiti huu wa awali, unatajwa kwamba utafanyika pia katika mikoa ya Arusha, Singida, Simiyu, Tabora na Lindi.

 

10 years ago

GPL

MAONYESHO YA BIASHARA YAANZA VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR

Lango kuu la kuingilia katika viwanja hivyo. Moja ya mabanda ya maonesho ya biashara likiwa tayari kwa shughuli za maonyesho.
Mteja akiwa nje ya jengo la Chuo Kikuu Cha Dar…

 

10 years ago

Mwananchi

‘Tanzania haijagundua rasmi kuwa na mafuta’

Taarifa kwamba habari za dalili za kuwepo kwa mafuta kwenye Bonde la Ruhuhu lililo wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, zimethibitishwa na Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC), zinaweza kuwa njema na zenye matumaini ya maisha bora si kwa wakazi wa eneo hilo pekee, bali taifa zima.

 

11 years ago

BBCSwahili

Marufuku ya Miraa yaanza rasmi UK

Marufuku ya utafunaji wa miraa nchni Uingereza inaanza kutekelezwa leo na kusababisha hofu ya kupoteza ajira kwa wakulima Kenya

 

11 years ago

BBCSwahili

Michezo ya Sochi yaanza Rasmi

Rais Vladmir Putin wa Urusi afungua rasmi mashindano ya olimpiki ya msimu wa baridi katika mji wa utalii wa Socchi.

 

10 years ago

Vijimambo

Chadema yaanza mbio Uchaguzi mkuu rasmi.

Yawataka wanachama kujitokeza kuchukua fomu, Wagombea urais kuchujwa Ukawa.Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetoa ratiba kwa wanachama wake wanaotaka kugombea udiwani, ubunge na urais kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba, 2015 kujitokeza kuchukua fomu.

Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema, Freeman Mbowe, alitangaza ratiba hiyo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam kuhusiana na maazimio yaliyofikiwa na Kamati...

 

10 years ago

Michuzi

Maonesho ya Nne ya Vito ya Arusha yaanza rasmi

Na Veronica Simba

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Jowika Kasunga ametembelea Maonesho ya Nne ya Vito ya Arusha na kuwataka wafanyabiashara wa madini ya vito nchini kuongeza bidii na ubunifu katika kazi yao ili waweze kunufaika na biashara hiyo kwa kukuza kipato chao na uchumi wa nchi kwa ujumla.

Mheshimiwa Kasunga aliyasema hayo katika siku ya kwanza ya maonesho hayo yanayofanyika jijini Arusha katika Hoteli ya Mount Meru na kushirikisha wafanyabiashara wa madini ya vito wa hapa nchini na nje...

 

11 years ago

GPL

SAFARI YA MCHUJO KWA WASHIRIKI WA TMT YAANZA RASMI

Jukwaa likitengenezwa kwaajili ya Washiriki Wa fainali ya Shindano la Tanzania Movie Talents (TMT) kupanda jukwaani na kuanza kuonyesha vipaji vyao, Onyesho hili ni onyesho la kwanza la kuelekea Kwenye Mchujo wa kumpata mshiriki Mmoja atakayejinyakulia kitita cha Shilingi Milioni 50 katika fainali kubwa itakayofanyika mwishoni mwa Mwezi wa Nane.
Mahost wa Show ya Tanzania Movie Talents (TMT) Joti na Lulu wakiwa kwa Steji...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani