Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC yaanza mafunzo ya uchambuzi wa mifumo ya Kompyuta

_DSC0093

Afisa Mchambuzi wa Mifumo ya Computer wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Amos Madaha akizungumza katika semina ya siku nne ya matumizi ya fomu mbalimbali za uandikishwaji wa wapiga kura (BVR) ya mafunzo kwa zaidi ya wachambuzi 500 yanayofanyika jijini Dar es Salaam.  Afisa Mchambuzi wa Mifumo ya Computer wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Adolf Kinyero akizungumza katika semina ya siku nne ya matumizi ya fomu mbalimbali za uandikishwaji wa wapiga kura (BVR) ya mafunzo kwa zaidi ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NEC YAANZA MAFUNZO YA UCHAMBUZI WA MIFUMO YA COMPUTER

Afisa Mchambuzi wa Mifumo ya Computer wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Amos Madaha akizungumza katika semina ya siku nne ya matumizi ya fomu mbalimbali za uandikishwaji wa wapiga kura (BVR) ya mafunzo kwa zaidi ya wachambuzi 500 yanayofanyika jijini Dar es Salaam. Afisa Mchambuzi wa Mifumo ya Computer wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Adolf Kinyero akizungumza katika semina ya siku nne ya matumizi ya fomu mbalimbali za uandikishwaji wa wapiga kura (BVR) ya mafunzo kwa zaidi ya...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yaanza kusambaza kompyuta vyuoni

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali kwa sasa imeanza kusambaza kompyuta katika vyuo vikuu nchini kwa lengo la kuboresha elimu kwa wanafunzi. Pia, amesema baadaye Serikali itaanza kusambaza kompyuta ndogo zinazobeba vitabu kidijitali, maarufu kama tabuleti (tablets) kwa wanafunzi.

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA BIASHARA ENDELEVU WA VODACOM AKAGUA MAENDELEO YA ELIMU YA MAFUNZO YA KOMPYUTA KATIKA SHULE YA SEKONDARI KAMBANGWA

Mkuu wa kitengo cha mfuko wa huduma za jamii cha Vodacom "Vodacom Foundation"Yessaya Mwakifulefule (kushoto)akimsikiliza Mkuu wa Biashara Endelevu wa kampuni hiyo Suraya Hamdulay,wakati alipotembelea darasa la mafunzo ya kompyuta katika Shule ya sekondari ya Kambangwa jijini Dar es Salaam,kujionea maendeleo ya mradi wa mpango wa kuziunganisha shule za Sekondari na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano,Uliofadhiliwa na Vodacom Tanzania kwa kushirikiana na Samsung. Mwanafunzi wa kidato cha...

 

11 years ago

GPL

MKUU WA BIASHARA ENDELEVU WA VODACOM AKAGUA MAENDELEO YA ELIMU YA MAFUNZO YA KOMPYUTA KATIKA SHULE YA SEKONDARI KAMBANGWA‏

Mkuu wa kitengo cha mfuko wa huduma za jamii cha Vodacom "Vodacom Foundation"Yessaya Mwakifulefule (kushoto)akimsikiliza  Mkuu wa Biashara Endelevu wa kampuni hiyo Suraya Hamdulay,wakati alipotembelea darasa la mafunzo ya kompyuta katika Shule ya sekondari ya Kambangwa jijini Dar es Salaam,kujionea maendeleo ya mradi wa mpango wa kuziunganisha shule za Sekondari na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano,Uliofadhiliwa na Vodacom ...

 

11 years ago

Michuzi

MAKARANI 90 WA MAHAKAMA MBALIMBALI NCHINI KUPEWA MAFUNZO YA KUJIFUNZA MFUMO MPYA WA TEKNOLOJIA WA KUDHIBITI MASHAURI MAHAKAMANI KWA NJIA YA KOMPYUTA

    Mhe. Hussein Kattanga, Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, akifungua mafunzo hayo rasmi jana, katika maneno yake ya ufunguzi Kattanga amewaasa Makarani kutokufanya kazi kwa mazoea bali kufanya kulingana na misingi ya maadili ya Mahakama iliyopo lengo likiwa ni kubadili taswira ya Mahakama kwa wananchi, (kushoto) ni Msajili wa Mahakama ya Ardhi, Mhe. Lameck Mlacha, kulia ni Naibu Mkurugenzi Mafunzo, Bi. Rehema Vyas.

 Mmoja wa Makarani kutoka Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NEC yaanza kuboresha daftari

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema kuwa imeanza maandalizi ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Taarifa hiyo ilitolewa na Makamu Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu, Hamid...

 

10 years ago

Habarileo

NEC sasa yaanza kugawa majimbo

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Damian LubuvaTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza rasmi mchakato wa kugawa majimbo ya uchaguzi nchini ambapo inatarajia kuanza uchunguzi wa mipaka ya majimbo hayo hivi karibuni, ikiwa ni hatua ya maandalizi ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

NEC yaanza kuboresha Daftari la Wapigakura

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza mchakato wa kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kwa kuanza kuhakiki vituo vya uandikishaji na kupiga kura vitakavyoongezeka kwa lengo la kuvisogeza karibu zaidi na wananchi.

 

9 years ago

Habarileo

NEC sasa yaanza uhakiki waliopita bila kupingwa

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inawasiliana na wasimamizi wa uchaguzi katika ngazi za halmashauri ili kupata idadi kamili ya wagombea waliopita bila upingwa katika ngazi za ubunge na udiwani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani