NEC YAANZA MAFUNZO YA UCHAMBUZI WA MIFUMO YA COMPUTER
Afisa Mchambuzi wa Mifumo ya Computer wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Amos Madaha akizungumza katika semina ya siku nne ya matumizi ya fomu mbalimbali za uandikishwaji wa wapiga kura (BVR) ya mafunzo kwa zaidi ya wachambuzi 500 yanayofanyika jijini Dar es Salaam. Afisa Mchambuzi wa Mifumo ya Computer wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Adolf Kinyero akizungumza katika semina ya siku nne ya matumizi ya fomu mbalimbali za uandikishwaji wa wapiga kura (BVR) ya mafunzo kwa zaidi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog16 Apr
NEC yaanza mafunzo ya uchambuzi wa mifumo ya Kompyuta
11 years ago
Tanzania Daima05 Mar
NEC yaanza kuboresha daftari
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imesema kuwa imeanza maandalizi ya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Taarifa hiyo ilitolewa na Makamu Mwenyekiti wa NEC, Jaji mstaafu, Hamid...
11 years ago
Habarileo30 Jan
NEC yaanza kuboresha Daftari la Wapigakura
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza mchakato wa kuboresha Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kwa kuanza kuhakiki vituo vya uandikishaji na kupiga kura vitakavyoongezeka kwa lengo la kuvisogeza karibu zaidi na wananchi.
10 years ago
Habarileo12 May
NEC sasa yaanza kugawa majimbo
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeanza rasmi mchakato wa kugawa majimbo ya uchaguzi nchini ambapo inatarajia kuanza uchunguzi wa mipaka ya majimbo hayo hivi karibuni, ikiwa ni hatua ya maandalizi ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu.
9 years ago
Habarileo25 Aug
NEC sasa yaanza uhakiki waliopita bila kupingwa
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema inawasiliana na wasimamizi wa uchaguzi katika ngazi za halmashauri ili kupata idadi kamili ya wagombea waliopita bila upingwa katika ngazi za ubunge na udiwani.
9 years ago
MichuziAWAMU YA TATU YA MAFUNZO YA UJASIRIAMALI KWAJILI YA KUMKOMBOA MWANAMKE WA KITANZANIA YAANZA DAR
Awamu ya Tatu ya Mafunzo ya Ujarisiamali kwa Mkoa wa Dar es salaam yameanza leo. Wanawake 35 wa jiji la Dar es salaam Watanufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia vipodozi vya LuvTouch Manjano. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na mtaalamu wa mambo ya Biashara Bw Felix Maganjila na Shekha Nasser. Mafunzo haya yenye lengo la kumwezesha mwanamke wa Kitanzania kuondokana na tatizo la ukossefu wa ajira kwa kujikita katika kujiajiri...
11 years ago
Dewji Blog25 Jun
NEC yaanza uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo mpya wa (BVR)
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) hapa nchini Jaji Mstaafu Damian Lubuva (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jana, kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Singida, Liana Hassan na kushoto ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Joseph Mchina.(PICHA ZOTE NA HILLARAY SHOO Mo Blog, SINGIDA).
Na Hillary Shoo, SINGIDA.
TUME ya Taifa ya Uchaguzi imeanza mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura,kwa kuwashirikisha kwa karibu waandishi wa habari hapa nchini.
Lengo la...
10 years ago
MichuziKAMATI YA KUWAHOJI WAOMBA HIFADHI (NEC) YAANZA KAZI KAMBI YA WAKIMBIZI NYARUGUSU, KIGOMA
9 years ago
MichuziMAFUNZO KUHUSU HUDUMA ZA LESENI ZA MADINI KWA NJIA YA MTANDAO YAANZA RASMI KANDA YA KUSINI