Serikali yaanza kudhibiti Shilingi
SERIKALI imesema imeshaanza kuchukua hatua za kudhibiti kuporomoka kwa kasi kwa Shilingi. Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa Fedha Masoko wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Alexander Ng’winamila, alisema kamwe Serikali haiwezi kulikalia kimya suala hilo.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-7GwUaOKoKvs/Xr6aJ0QnzlI/AAAAAAALqWg/VTimD9DfHPwAD8SwWvDMtDYZoXaj4XWXQCLcBGAsYHQ/s72-c/97dcc94a-538e-484e-abbb-f91eb432a7e8.jpg)
Serikali yapokea vifaakinga vya shilingi milioni 700/- kutoka serikali ya China
Msaada huo umetoleowa leo katika Bohari ya Dawa (Medical Stores Department) na kupokelewa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Prof. Mabula Mchembe.
Prof. Mchembe amesema kwamba msaada huo umekuja wakati mzuri kwani utawasaidia watumishi wa afya katika mapambano dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona...
10 years ago
Vijimambo25 Nov
MACHUNGU YA UFISADI WA ESCROW YAANZA KUONEKANA ,SHILINGI YATANZANIA YASHUKA RASMI,SOMA HAPA KUJUA.
![](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Jakaya-Kikwete1.jpg)
Dar es Salaam. Hatua ya wahisani kuzuia Sh1 trilioni za misaada ya kibajeti kwa Serikali kutokana na kashfa ya IPTL na wasiwasi wa Uchaguzi Mkuu mwakani, ni miongoni mwa sababu za kuporomoka kwa kasi thamani ya Shilingi nchini, imefahamika.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti wiki iliyopita, wasomi na wadau wa biashara nchini walisema sababu nyingine ni uagizaji na uuzaji bidhaa nje ya nchi.
Kwa mujibu wa takwimu za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Januari 2, mwaka huu, Dola moja ya Marekani ilikuwa...
11 years ago
Mwananchi22 Dec
Serikali kudhibiti matumizi kemikali
11 years ago
Mwananchi26 Feb
Serikali kudhibiti upotevu wa maji
9 years ago
CCM BlogKAMATI KUU YA CCM YAMPONGEZA RAIS DK. MAGUFULI NA WASAIDIZI WAKE, NI KWA KUSIMAMIA VYANZO VYA MAPATO YA SERIKALI, KUDHIBITI MATUMIZI YA SERIKALI NA UHIMIZAJI WANANCHI KUFANAYA KAZI KWA BIDII
11 years ago
Tanzania Daima15 Dec
Serikali kudhibiti wizi haki za wasanii
SERIKALI kupitia Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, imeweka mikakati ya kudhibiti haki za kazi za wasanii wa muziki na filamu za Tanzania. Hayo yalisemwa bungeni juzi na waziri...
10 years ago
Habarileo12 Dec
Serikali yasisitizwa kudhibiti nauli Dar
ABIRIA wa mabasi yaendayo mikoani wameiomba Serikali kusimamia upandaji holela wa mabasi yaendayo mikoani katika kipindi hiki cha mwishoni mwa mwaka.
10 years ago
MichuziSERIKALI KUDHIBITI MATUMIZI MABAYA YA TEHAMA.
10 years ago
Habarileo29 Nov
BRN kudhibiti wizi wa dawa za serikali
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imesema baada ya kuingizwa katika Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) itadhibiti wizi wa dawa za serikali kwa kuweka alama ya GT (Government of Tanzania) katika dawa zote.