‘Simu, kompyuta hupunguza nguvu za kiume’
WATANZANIA wametakiwa kuwa makini wanapotumia simu na kompyuta, kwani ndio chanzo cha matatizo mbalimbali yakiwemo ya kutoona, kutosikia, upungufu wa nguvu za kiume na vifo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
10 years ago
BBCSwahili25 Apr
Je,miraa inaongeza nguvu za kiume?
10 years ago
Mwananchi27 Mar
Vyakula vinavyoimarisha nguvu za kiume
10 years ago
Michuzi
IJUE SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME

11 years ago
Mwananchi27 Dec
Mitindo ya maisha na upungufu wa nguvu za kiume
11 years ago
Mwananchi12 Oct
Nguvu zangu za kiume zimepungua, nifanyeje?
10 years ago
Mtanzania26 Mar
‘Vijana wengi hawana nguvu za kiume’
Patricia Kimelemeta na Asifiwe George
TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR),imesema vijana wenye umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea, wanaongoza kwa kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,Mkurugenzi wa NIMR,Dk.Mwele Malecela alisema kwa sasa tatizo hilo ni kubwa ambalo linawakumba vijana wengi hususan barani Afrika.
Alisema hali hiyo,imesababisha vijana hao kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume aina ya...
10 years ago
Michuzi
IFAHAMU SAYANSI YA MFUMO WA NGUVU ZA KIUME.

Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalowakabili mamilioni ya wanaume duniani.Tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ni nini ?Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali yamwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwaukamilifu
HATUA MBILI MUHIMU KATIKA KUSIMAMA KWA UUMEIli mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa na andelee kufanyatendo la ndoa, ni lazima uume wake upitie hatua kuu mbilikama ...
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Tatizo la nguvu za kiume, maana yake na tiba
Tumekuwa tukitoa elimu muhimu juu ya afya zetu kupitia makala mbalimbali katika ukurasa huu, leo ningependa nianzishe mada muhimu na yenye mguso mkubwa kwa jamii ya wanaume wa karne hii ya sasa.
Tatizo la nguvu za kiume limekuwa likiwasumbua wanaume wengi na limekuwa ni chachu ya kuvunjia kwa ndoa nyingi. Japokuwa tatizo hili linatibika na mtu akareje katika hali yake ya kawaida, wanaume wengi wamekuwa wakiona aibu kufika katika vituo vya tiba au kuonana na matatibu ili kupata ufumbuzi wa...