IJUE SAYANSI YA NGUVU ZA KIUME
![](http://3.bp.blogspot.com/-5bOMhfTDJqk/VZpT4lVbNLI/AAAAAAAHnPc/95ca328KzD4/s72-c/unnamed%2B%252840%2529.jpg)
Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani. Tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ni nini ?Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa ukamilifuHATUA MBILI MUHIMU KATIKA KUSIMAMA KWA UUMEIli mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa na andelee kufanya tendo la ndoa, ni lazima uume wake upitie hatua kuu mbili ...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-0W34GpaSDtM/VbcXuuvoJKI/AAAAAAAHsH8/p_zDeP8GlJI/s72-c/Neema-Herbalistic-Clinic.jpg)
IFAHAMU SAYANSI YA MFUMO WA NGUVU ZA KIUME.
![](http://3.bp.blogspot.com/-0W34GpaSDtM/VbcXuuvoJKI/AAAAAAAHsH8/p_zDeP8GlJI/s640/Neema-Herbalistic-Clinic.jpg)
Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalowakabili mamilioni ya wanaume duniani.Tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ni nini ?Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali yamwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwaukamilifu
HATUA MBILI MUHIMU KATIKA KUSIMAMA KWA UUMEIli mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa na andelee kufanyatendo la ndoa, ni lazima uume wake upitie hatua kuu mbilikama ...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Spdm0ddcg6A/VZramewA4XI/AAAAAAAHnWc/hyJJyRl-xLs/s72-c/unnamed%2B%252858%2529.jpg)
IJUE SAYANSI YA MOTO NA JINSI YA KUKABILIANA NAO 2.
Awali ya yote nichukue fulsa hii kuomba radhi kwa makosa ya kiuandishi yaliyo jitokeza katika makala iliyopita ambayo mwanzoni mwa paragrafu ya kwanza nilianza kueleza moto nikitugani, lakini katika maelezo kulitokea mkanganyiko, Sehemu hiyo ilipaswa isomeke hivi:
Moto ni mgongano endelevu wa kikemikali ambao uzaa joto na mwanga. Mgongano huo endelevu utasababisha muwako ambao utaendelea kukua endapo utapata vitu vikuu vitatu ambavyo ni joto, hewa ya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZAWmPnMuull2pqWwTIMLABcUSnnPpDrydGxJ8Hwp9NQwPEi8hdLduhW2KZtWgJKsrXyjpq6ZzXIjSlgQSqIcRVksCJvwXaKR/UnhappyCoupleTheTrent.jpg?width=650)
UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME
10 years ago
BBCSwahili25 Apr
Je,miraa inaongeza nguvu za kiume?
10 years ago
Mwananchi27 Mar
Vyakula vinavyoimarisha nguvu za kiume
10 years ago
Mwananchi12 Oct
Nguvu zangu za kiume zimepungua, nifanyeje?
11 years ago
Habarileo31 Jul
‘Simu, kompyuta hupunguza nguvu za kiume’
WATANZANIA wametakiwa kuwa makini wanapotumia simu na kompyuta, kwani ndio chanzo cha matatizo mbalimbali yakiwemo ya kutoona, kutosikia, upungufu wa nguvu za kiume na vifo.
10 years ago
Mtanzania26 Mar
‘Vijana wengi hawana nguvu za kiume’
Patricia Kimelemeta na Asifiwe George
TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu(NIMR),imesema vijana wenye umri wa kuanzia miaka 30 na kuendelea, wanaongoza kwa kutumia dawa za kuongeza nguvu za kiume.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana,Mkurugenzi wa NIMR,Dk.Mwele Malecela alisema kwa sasa tatizo hilo ni kubwa ambalo linawakumba vijana wengi hususan barani Afrika.
Alisema hali hiyo,imesababisha vijana hao kutafuta dawa za kuongeza nguvu za kiume aina ya...
11 years ago
Mwananchi27 Dec
Mitindo ya maisha na upungufu wa nguvu za kiume