Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wapi Tutakimbilia

Wapi Tutakimbilia Wapi tutakimbilia, wanyonge wa udhalili Kusudi kujiokoa dhidi ya hili afali, Ajali ya kuchujua, mahuruki kutudhili Vita visivyoamulika?

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Vijimambo

JE UNATAKA KUJUA WEMA SEPETU KAZALIWA MWAKA GANI, WAPI NA KASOMA WAPI! SOMA HAPA

wema sepetu bongoclan.co.tzAkiwa mmoja kati ya wanadada wanofanya vizuri sana kwenye Tasnia hii ya Bongo Movies ,Wema Sepetu ni msichana  anayetoka kwenye Familia ya kibalozi ni mtoto wa mwisho katika familia ya wasichana wanne wa Balozi Isaack Sepetu Ibrahimu.Ana sura na umbo zuri sana, na mvuto mkubwa sana kutokana na rangi yake nzuri ya ngozi. Wema sepetu alizaliwa mnamo mwaka 1988 katika hospitali ya ST. Andrew’s jijini Dar es Salaam na ni mtoto wa mwisho kuzaliwa katika familia yao yenye watoto wanne wa kike.wema sepetu bongoclan.co.tz..

 

10 years ago

GPL

SAJENTI, SIASA NA MALEZI YA MTOTO WAPI NA WAPI?

MAISHA ya Kibongo kwa kweli ni magumu sana. Kuna msemo mmoja maarufu sana mtaani unaosema kuwa bora jana kuliko leo, wakimaanisha angalau jana walikuwa na uhakika, hawajui leo itakuwaje. Vijana wako bize kutafuta hela kwa kila mbinu, wenye haraka wakitumia silaha, ushirikina na hata utapeli, ili mradi kila mmoja anajitahidi kuhakikisha maisha yake ya leo yanakwenda sawa, huku akijiweka vizuri kuishika kesho yake isiingie...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani