UNATAKA KUMUOA JOHARI? BOFYA HAPA!
![](http://api.ning.com:80/files/LWw0InctTwn*Sa4f*6qV4KFD*pdOi7rK6rZYIj*OX*C7v*CQyp1FK496t97AaEIE7BWnI1SQxYArJ*nYgSQuh8GylOmh1Roj/johali6666.jpg?width=650)
Staa mkubwa wa filamu za Kibongo Blandina Changula "Johari" Makala: Sifael Paul Julai 28, 1983 mkoani Shinyanga, alizaliwa mtoto wa kike ambaye sasa ni staa mkubwa wa filamu za Kibongo. Ni maarufu kwa jina la kistaa la Johari lakini majina yake kamili ni Blandina Changula. Kama kawaida yetu huwa tunatoa nafasi kwa staa kusimulia alikopitia hadi akafikia mafanikio aliyonayo ili kutoa chansi kwa … ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JHS5fnHuLYk*l598Lp0sfNDra*GH7-TdQtvFYNXZI89G1HKDn0AOiQf2*evw5qRmmWjrWEPSnC4echhksYDlPswdyxGLR7*q/JOHARI.jpg)
JOHARI: RAY HAWEZI KUMUOA CHUCHU
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/K6CBBOJeKwECIeVdVSdy73p7ETehUggkLo72LyDIFQSNOfu9qiyLyypUClUHKL2EHZkIy9lxyymtt*8R6ajCazDKj2srjMay/blgal1134.jpg?width=650)
UNATAKA KUZAA MAPACHA? SOMA HAPA-2
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Y8Xf2kBXWFlc70Dvmq5zbchDUzR0bJj2RLFE4pyNVUoQDSRRlrM-BPd395lAPz-F8rAJykwxHZQYs3jl7aEits5bG6nXsJqr/ObimcjX.jpg?width=650)
UNATAKA KUZAA MAPACHA? SOMA HAPA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mJm3snXM0mwUlDpOqjgUPIHRiQqzD-OhlAL-KnDDk8w0qGxGgA*Gao5GgdZIZbgZ3HbZCJzr6ZvhBRo0GGHNtdnpf*W4*gXH/MaishanaMahusiano.jpg?width=650)
UMETENDWA, UNATAKA KUANZISHA UHUSIANO MPYA? SOMA HAPA!
10 years ago
Bongo521 Oct
Unataka kula bata na Akon jijini New York? Soma hapa
10 years ago
Bongo Movies16 Feb
Hapa na Pale: Ray Amtapeli Upya Johari
Gazeti la udaku la KIU, limeripoti kuwa hali ndani ya kampuni ya RJ inaendelea kutokuwa shwari kwa kile kinachodaiwa kuwa kuwa wakurugenzi waanzilishi wa kampuni hiyo Vicent Kigosi ‘Ray’ na Blandina Chagula ‘Johari’ kutokuwa na maelewano mazuri na sasa ikidawa kuwa chanzo ni pesa kutoka kwa wadhamni waliokuwa wakihitaji kudhamini filamu inayotengenezwa na makampuni hayo.
Chazo hicho ambacho kipo ndani ya kampuni hiyo kilisema kuwa pesa hizo zilitolewa na mfanyabiashara maarufu ambaye...
9 years ago
Dewji Blog31 Dec
Je! Unataka kushinda safari ya Paris, kushuhudia michuano ya Eufa Euro 2016? soma hapa!
Michuano mikubwa kabisa ya soka itakayoikutanisha miamba ya timu za Taifa za Bara la Ulaya itakayomenyana kuwania kombe la Uefa Euro2016, michezo itakayopigwa nchini Ufaransa katika majiji kadhaa ya nchi hiyo kwa muda wa mwezi mmoja.
Katika hatua hiyo, wewe na yule unayo nafasi ya kushinda safari ya kwenda katika jiji la Paris kushuhudia ufunguzi wa michuano hiyo ya Uefa Euro 2016, ambapo utapata nafasi ya kulipiwa kila kitu pamoja na kushuhudia shoo kali ya mwanamuziki nguli ambaye...
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Leo ni birthday ya mwigizaji Vicenti Kigosi ray, Johari ampa salamu tata, isome hapa
Leo mwigizaji maarufu nchini Vicent kigosi - Ray anasherehehea siku yake ya kuzaliwa huku akipata salamu mbalimbali za pongezi toka kwa mastaa mbalimbali nchini.
Moja ya watu wa kwanza kwanza kumpa salamu hiyo ni swahiba na rafiki yake mkubwa, JB akifuatiwa na mpenzi wake wa zamani Johari ambaye salamu yake inadaiwa na wachunguzi wa mambo kuwa ni kwa namna flani inamponda mpenzi wa sasa wa Ray , Chuchu hans, kutokana na maneno yaliyotumika ya salamu hiyo ambayo Johari anadaiwa kuwahi...