Hapa na Pale: Ray Amtapeli Upya Johari
Gazeti la udaku la KIU, limeripoti kuwa hali ndani ya kampuni ya RJ inaendelea kutokuwa shwari kwa kile kinachodaiwa kuwa kuwa wakurugenzi waanzilishi wa kampuni hiyo Vicent Kigosi ‘Ray’ na Blandina Chagula ‘Johari’ kutokuwa na maelewano mazuri na sasa ikidawa kuwa chanzo ni pesa kutoka kwa wadhamni waliokuwa wakihitaji kudhamini filamu inayotengenezwa na makampuni hayo.
Chazo hicho ambacho kipo ndani ya kampuni hiyo kilisema kuwa pesa hizo zilitolewa na mfanyabiashara maarufu ambaye...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
Leo ni birthday ya mwigizaji Vicenti Kigosi ray, Johari ampa salamu tata, isome hapa
Leo mwigizaji maarufu nchini Vicent kigosi - Ray anasherehehea siku yake ya kuzaliwa huku akipata salamu mbalimbali za pongezi toka kwa mastaa mbalimbali nchini.
Moja ya watu wa kwanza kwanza kumpa salamu hiyo ni swahiba na rafiki yake mkubwa, JB akifuatiwa na mpenzi wake wa zamani Johari ambaye salamu yake inadaiwa na wachunguzi wa mambo kuwa ni kwa namna flani inamponda mpenzi wa sasa wa Ray , Chuchu hans, kutokana na maneno yaliyotumika ya salamu hiyo ambayo Johari anadaiwa kuwahi...
10 years ago
Bongo Movies17 Dec
HAPA NA PALE:Chuchu Hans Adaiwa Kumsaliti Ray kwa Mfanyabiashara….Chuchu Afunguka
Inasemekana penzi kati ya waigizaji Chuchu Hans na Visent Kigosi “Ray” limeingia mtegoni baada ya Chuchu Hans kusemekana kumsaliti mpenzi wake Ray kwa jamaa anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara anayeishi maeneo ya Mbezi Beach Dar.
Chanzo kinasema pamoja na Chuchu kuwa na Ray kwa muda wote, lakini inadaiwa kuwa muda fulani amekuwa akitoka na kwenda Mbezi anapoishi kijana huyo.
Hata hivyo paparazi wetu aliamua kumvutia waya Chuchu na kuzungumza naye ishu hiyo ambapo alidai stori hizo...
10 years ago
Bongo526 Apr
Ray C: Nimenenepa lakini kiuno bila mfupa kiko pale pale!
11 years ago
Michuzi10 Mar
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CrfMSzuE5d4PDQROdK4cyk99YzQrVvbPirw6CO4W1CkTI6x-4ZYZLZA3P13K6trKCgzbyJf9ylsl6mGaQJedVKViUo74o5EC/ray.jpg)
RAY, JOHARI WACHENGANA
10 years ago
Bongo Movies24 Apr
Johari Amkana Ray!
Staa wa Bongo Movies na mmiliki mwenza wa kampuni ya filamu nchini ya ‘RJ Company’, Blandina Chagula ‘Johari’, ameibuka na kushangaza wengi kwa kauli yake kwamba hakuwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji mwenzake, Vicent Kigosi ‘Ray’.
Staa huyo aliwahi kukiri kuwa na uhusiano huo na msanii huyo na kwamba walishaachana kwa amani, ndiyo maana waliweza kuendelea na kampuni yao ya masuala ya filamu ya Rj Company.
Juzi Johari ameliambia gazeti la Mtanzania kwamba, muda mrefu alikuwa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/G4QhErsz3t-*S-Smp104FYy8GRW48bK8OCSopN97MAP-12aKFzWWLu1DSz2-VZsl3TlxZ6pp3w0r*3bAqrEYuooxqPPqQqMb/johari.jpg?width=650)
MAMA JOHARI AMFUMUA RAY
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9OHZWcwyRATs4HKVwmonEt-8yOP7t9F-P79UVYgVrsBBBIkd6mB8ZaeWcG-Y-Gh-PTEbUwzfxH1XmzVk3HLcCyLN-QqqRVKb/johari.jpg?width=650)
JOHARI: NIKO RJ SIKO NA RAY
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Chuchu: Ray na Johari si Wapenzi
Mwigizaji wa filamu za Kibongo,Chuchu Hans amefunguka kwa mara ya kwanza kuwa mpenzi wake ambaye pia ni staa wa filamu,Vincent Kigosi,’Ray’ hana uhusiano wa kimapenzi na msanii mwenzake Blandina Chagula’Johari’ kama ambavyo watu wanadhani.
Chuchu amefunguka kupitia Movie Leo na Zamaradi Mketema kuwa watu wamekuwa wakidhani Ray na Johari wana uhusiano wa kimapenzi lakini yeye anavyojua hawana uhusiano bali ni wanafanya kazi kwenye kampuni moja kama wakurugenzi(RJ Film).
‘’Ninachojua mimi Ray...