MMESHINDWA KUPATA WATOTO? SOMA HAPA
Hashim Aziz Ni matumaini yangu kwamba mpenzi msomaji wa safu hii uko poa na unaendelea na majukumu yako ya kila siku. Wiki iliyopita tulihitimisha mada ya namna ya kuishi na mwenzi wako akiwa mjamzito. Hata hivyo, baadhi ya wasomaji wangu waliniomba pia tujadiliane kuhusu namna ya kuishi katika uhusiano wa kimapenzi ambao umeshindwa kuleta watoto. Kwa kuwa nakujali msomaji wangu, leo nimeamua kuiweka mezani mada hii. ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Je umetoboa sehemu za siri?soma hapa.
9 years ago
GPLUNATAKA KUZAA MAPACHA? SOMA HAPA-2
9 years ago
GPLUNATAKA KUZAA MAPACHA? SOMA HAPA
10 years ago
GPLUMETENDWA, UNATAKA KUANZISHA UHUSIANO MPYA? SOMA HAPA!
9 years ago
VijimamboKAULI MPYA YA MKAPA KUHUSU UKAWA, SOMA HAPA
Rais mstaafu, Benjamin Mkapa ameponda kauli ya vyama vya upinzani kuwa vitaleta mabadiliko, akisema kazi hiyo tayari imefanywa na CCM.Akizungumza kwenye Uwanja wa Uhuru mjini Bukoba wakati wa uzinduzi wa kampeini za wagombea wa chama hicho mkoani Kagera, Mkapa alisema chama pekee kilichobobea katika ukombozi ni CCM na Serikali zake zilizotangulia.Kiongozi huyo wa Serikali ya Awamu ya Tatu alisema kuwa lengo la vyama vya upinzani ni kuing’oa CCM na lengo la chama hicho tawala ni kuendelea...
11 years ago
VijimamboVULUGU KALI ZATOKEA LEO BUNGENI SOMA HAPA
9 years ago
VijimamboFAHAMU URAFIKI WA GWAJIMA NA LOWASA SOMA HAPA LIVE!!
SASA NIMEELEWA KWA NINI LOWASSA, GWAJIMA NI MARAFIKINA LUQMAN MALOTO Jua lilikuwa limeshamezwa na mwangaza wa jioni ulikuwa unatoweka. Naam usiku ulikuwa unaingia. Abiria walikuwa wengi kuliko idadi ya daladala. Mimi nguvu sina, kwa hiyo nilijikalia pembeni nikitazama purukushani za wenye ubavu wao katika kugombea gari.Mara ikaja bajaji, ikaita bukubuku. Nami kwa mikogo nikaenda kupanda. Nilijua huko hatutagombana, na kweli hatukupigana. Nilijiweka pembeni, wakapanda wengine wawili nyuma,...