Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FAHAMU URAFIKI WA GWAJIMA NA LOWASA SOMA HAPA LIVE!!


SASA NIMEELEWA KWA NINI LOWASSA, GWAJIMA NI MARAFIKINA LUQMAN MALOTO Jua lilikuwa limeshamezwa na mwangaza wa jioni ulikuwa unatoweka. Naam usiku ulikuwa unaingia. Abiria walikuwa wengi kuliko idadi ya daladala. Mimi nguvu sina, kwa hiyo nilijikalia pembeni nikitazama purukushani za wenye ubavu wao katika kugombea gari.Mara ikaja bajaji, ikaita bukubuku. Nami kwa mikogo nikaenda kupanda. Nilijua huko hatutagombana, na kweli hatukupigana. Nilijiweka pembeni, wakapanda wengine wawili nyuma,...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Je umetoboa sehemu za siri?soma hapa.

Wanawake wote walioamua kupamba sehemu zao za siri kwa kuzitoboa wanachukuliwa kuwa wamepitia ukatili wa kijinsia ama wamekeketwa.

 

9 years ago

GPL

UNATAKA KUZAA MAPACHA? SOMA HAPA

Leo nimeonelea kuwaletea elimu mpya kabisa ya uzazi ambapo mwanamke yeyote anaweza kupata ujauzito wenye watoto mapacha hata kama si asili ya ukoo wake. Nimetumia neno ‘mwanamke yeyote’ kwa sababu kuna imani ya miaka na miaka kwamba, si kila mwanamke anaweza kupata ujauzito bali itategemea na asili yake. IMANI ZA KALE KUHUSU UJAUZITO
Baadhi ya mila na desturi, hasa katika nchi za Kiafrika zinaamini kwamba, mwanamke kupata...

 

9 years ago

GPL

UNATAKA KUZAA MAPACHA? SOMA HAPA-2

Leo namalizia kuwaletea makala haya yanayohusu elimu mpya ya uzazi, mwanamke yeyote anaweza kupata ujauzito wenye watoto mapacha hata kama si asili ya ukoo wake, ungana nami sehemu ya mwisho. WENYE TABIA HII NDIYO WANAONGOZA Wanawake wengi wanaoongoza kwa kushika mimba za mapacha ni wale ambao wakati wa kulala wanabadili staili mara kwa mara.Mara nyingi inashauriwa kuwa, mwanamke akishaingia kwenye siku zake za hatari kulingana...

 

10 years ago

GPL

MMESHINDWA KUPATA WATOTO? SOMA HAPA

Hashim Aziz Ni matumaini yangu kwamba mpenzi msomaji wa safu hii uko poa na unaendelea na majukumu yako ya kila siku. Wiki iliyopita tulihitimisha mada ya namna ya kuishi na mwenzi wako akiwa mjamzito. Hata hivyo, baadhi ya wasomaji wangu waliniomba pia tujadiliane kuhusu namna ya kuishi katika uhusiano wa kimapenzi ambao umeshindwa kuleta watoto. Kwa kuwa nakujali msomaji wangu, leo nimeamua kuiweka mezani mada hii. ...

 

10 years ago

GPL

UMETENDWA, UNATAKA KUANZISHA UHUSIANO MPYA? SOMA HAPA!

UHALI gani mpenzi msomaji wa safu hii. Ni Jumamosi nyingine tunakutana tena katika uwanja wetu wa kujidai na kuweza kupeana darasa la uhusiano.Ni dhahiri kwamba asilimia kubwa ya watu kabla ya kufikia kwenye hatua ya kufunga ndoa, wanakuwa wamepitia maumivu mengi. Wanatendwa vya kutosha. Wanakuwa na ‘majeraha’ ya kutosha. Kuna ambao huenda mbali zaidi kimawazo hadi kufikia hatua ya kusema ‘sitapenda...

 

9 years ago

Vijimambo

KAULI MPYA YA MKAPA KUHUSU UKAWA, SOMA HAPA


Rais mstaafu, Benjamin Mkapa ameponda kauli ya vyama vya upinzani kuwa vitaleta mabadiliko, akisema kazi hiyo tayari imefanywa na CCM.Akizungumza kwenye Uwanja wa Uhuru mjini Bukoba wakati wa uzinduzi wa kampeini za wagombea wa chama hicho mkoani Kagera, Mkapa alisema chama pekee kilichobobea katika ukombozi ni CCM na Serikali zake zilizotangulia.Kiongozi huyo wa Serikali ya Awamu ya Tatu alisema kuwa lengo la vyama vya upinzani ni kuing’oa CCM na lengo la chama hicho tawala ni kuendelea...

 

11 years ago

Vijimambo

VULUGU KALI ZATOKEA LEO BUNGENI SOMA HAPA

Wabunge wa Chadema wakiwa wamesimama kukaidi amri ya Naibu spika, Job Ndugai ya kuwataka wakae chini Wabunge wa CHADEMA wakipambana na Polisi, Bungeni Mjini Dodoma leoMbunge wa Kuteuliwa na Mwenyekiti wa NCCR_MAGEUZI, James Mbatia akisahangaa kuona mapambano kati ya wabunge wa CHADEMA na Polisi Bungeni Kwa picha zaidi bofya soma zaidiMbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi aakiwa ameng'ang'ania Migrophone ya sehemu ya Kuzungumzia wapinzani Bungeni wakati polisi walipokuwa wakimtoa Bungeni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani