TMK WANAUME, TIP TOP CONNECTION, MASHAUZI CLASSIC NA YAMOTO BAND KUIPAMBA BIRTHDAY PARTY YA MHE. TEMBA LEO

Amani Temba 'Mhe. Temba'. MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka Kundi la TMK Wanaume Family, Amani Temba 'Mhe. Temba' leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Yamoto Band. Sherehe hiyo itafanyika leo saa 3 usiku katika Ukumbi wa Equator Grill ulioko Mtoni jijini Dar ambapo burudani zitashushwa kutoka kwa Tmk Wanaume Family, Tip Top Connection, Mashauzi Classic na Yamoto Band. … ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Wanaume TMK,Tip Top Connections kupamba mechi ya Azam,Yanga

Uwepo wa burudani hizo ni sehemu ya mkakati wa mdhamini mkuu wa ligi hiyo kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom ya kuhitimisha msimu wa ligi wa 2013/2014 kwa kishindo na burudani ya aina yake.
Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom...
10 years ago
GPL
YAMOTO BAND, MASHAUZI KUWASHA MOTO MANGO GARDEN LEO
10 years ago
Michuzi
MANGO GARDEN NYEUPE WIKI HII, BURUDANI NI MOJA TU …YAMOTO BAND NA MASHAUZI LEO USIKU

Kesho Ijumaa Malaika Band ambao hupiga hapo Mango kila Ijumaa, watakuwa Arusha mjini. Twanga Pepeta ambao hupiga Mango Garden kila Jumamosi, Jumamosi hii watakuwa Wenge Garden Ukonga.
Bendi ya FM Academia ambayo huibuka Mango Garden na kufukia viraka vya bendi...
11 years ago
Bongo523 Aug
Madee azungumzia kolabo mpya ya Tip Top na TMK
11 years ago
Tanzania Daima19 Jul
Dogo Janja arejea Tip Top Connection
KINDA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdulaziz Abubakari ‘Dogo Janja’ amerejea tena jijini Dar es Salaam katika kundi la Tip Top Connection baada ya kuwa mbali na kundi hilo...
10 years ago
Mwananchi30 Mar
PIGO:Msiba mzito Tip Top Connection
11 years ago
CloudsFM02 Jul
News:Dogo Janja arudi rasmi Tip Top Connection
Msanii wa Bongo Fleva,Dogo Janja ameAkifunguka kupitia XXL Clouds Fm Radio alisema kuwa ameona muziki wake hauendi sawa baada ya kuondoka kwenye kundi hilo ambapo sasa hivi yupo chini ya Meneja Babu Tale.rudi rasmi kwenye kundi lake la zamani Tip Top Conection baada ya kuzunguuka katika makundi tofauti tofauti.
10 years ago
Bongo529 Mar
Muasisi wa Tip Top Connection Abdul Bonge afariki dunia
10 years ago
Bongo530 Oct
Z Anto asema yupo tayari kufanya kazi chini ya Tip Top Connection tena
