Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Muasisi wa Tip Top Connection Abdul Bonge afariki dunia

Muasisi wa Tip Top Connection, Abdul Bonge amefariki dunia jana. Chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana. Abdul ni kaka yake na Babu Tale na kwa pamoja walianzisha kundi hilo. Mastaa mbalimbali wametumia Instagram kutuma salamu zao za rambi rambi. “Nimesikia habari za msiba wa my brother Abdu Bonge jana usiku nimesikitika kweli.Nimefanya kazi na Abdu […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TANZIA: ABDUL BONGE AFARIKI DUNIA

Abdul Bonge enzi za uhai wake. ALIYEWAHI kuwa Meneja wa wasanii na mwanzilishi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Chanzo cha kifo cha Abdul Bonge bado hakijafahamika ila msiba upo Manzese Tip Top. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN

 

10 years ago

Mwananchi

PIGO:Msiba mzito Tip Top Connection

Vilio na simanzi vimetawala katika tasnia ya muziki nchini baada ya kuondokewa na aliyekuwa mwasisi na meneja wa kundi la muziki la Tip Top Connection, Abdul Bonge, aliyefariki dunia ghafla Jumamosi jioni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dogo Janja arejea Tip Top Connection

KINDA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdulaziz Abubakari ‘Dogo Janja’ amerejea tena jijini Dar es Salaam katika kundi la Tip Top Connection baada ya kuwa mbali na kundi hilo...

 

11 years ago

CloudsFM

News:Dogo Janja arudi rasmi Tip Top Connection

Msanii wa Bongo Fleva,Dogo Janja ameAkifunguka kupitia XXL Clouds Fm Radio alisema kuwa ameona muziki wake hauendi sawa baada ya kuondoka kwenye kundi hilo ambapo sasa hivi yupo chini ya Meneja Babu Tale.rudi rasmi kwenye kundi lake la zamani Tip Top Conection baada ya kuzunguuka katika makundi tofauti tofauti.

 

9 years ago

Bongo5

Z Anto asema yupo tayari kufanya kazi chini ya Tip Top Connection tena

Z Anto na Babu TaleBaada ya meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale kutangaza kutamani kufanya kazi na Z Anto, msanii huyo naye amesema yupo tayari kurudi kundini. Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio, Z Anto amesema ana uwezo wa kufanya kazi na Tip Top Connection kama wataafikiana. “Mimi sina tatizo na Tale na hatujawahi kukoseana […]

 

10 years ago

GPL

TMK WANAUME, TIP TOP CONNECTION, MASHAUZI CLASSIC NA YAMOTO BAND KUIPAMBA BIRTHDAY PARTY YA MHE. TEMBA LEO

Amani Temba 'Mhe. Temba'. MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka Kundi la TMK Wanaume Family, Amani Temba 'Mhe. Temba' leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.  Yamoto Band. Sherehe hiyo itafanyika leo saa 3 usiku katika Ukumbi wa Equator Grill ulioko Mtoni jijini Dar ambapo burudani zitashushwa kutoka kwa Tmk Wanaume Family, Tip Top Connection, Mashauzi Classic na Yamoto Band. … ...

 

10 years ago

Vijimambo

HAKIKA ABDU BONGE ALIKUWA KIPENZI CHA WATU MAJONZI NA HUZUNI VYA TAWALA TIP TOP

Diamond akiwa na manager wake wakiwa kwenye msiba wa kaka yake babu Tale Msanii wa Bongo Movie NIVAakiwa na Meneja Masoko AccessBank Mr Muganyizi katika msiba  Msanii wa hip hop kutoka tamaduni muziki Sterio akiwa na Jabir mtangazaji wa TimesFm Koba mwanamuziki kutoka morogoro akiwa msibani Mirrow kutoka EndlessFame akiwa na Petman Wakuache  Jordan na Ali Runa  Master J pamoja na Diamond Platnumz Pnc akiwa na Best naso  Mr Muganyizi pamoja na wasanii Koba ,Jabir wa Times FM Shetta ,Diamond,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Muasisi Chama cha Washereheshaji afariki dunia

MMOJA wa Waasisi wa Chama cha Washereheshaji nchini (Sherehe Arts Association – SAA) na Mweka Hazina wa kwanza wa chama hicho, MC Frank Kavemba, amefariki dunia Jumamosi, akiwa kwenye Hospitali...

 

10 years ago

CloudsFM

Abdul Bonge kuzikwa leo mkoani Morogoro

Mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection na Meneja wa kundi hilo, marehemu Abdul Shaban Tale Tale 'Abdu Bonge' anatarajiwa kuzikwa kijijini kwao,Matombo mkoani Morogoro.

Akizungumza na mtandao huu, Meneja wa Kundi la Tip Top Connection na mdogo wa marehemu, Hamisi Shaban ‘Bab Tale’, alisema siku ya tukio Abdul Bonge akiwa maskani ya Tip Top Connection iliyopo Magomeni-Kagera alifuatwa na kijana mmoja na kuambiwa rafiki yake aitwaye Nassoro Idd alikuwa akipigana na mkewe hivyo aliagizwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani