TANZIA: ABDUL BONGE AFARIKI DUNIA

Abdul Bonge enzi za uhai wake. ALIYEWAHI kuwa Meneja wa wasanii na mwanzilishi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Chanzo cha kifo cha Abdul Bonge bado hakijafahamika ila msiba upo Manzese Tip Top. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo529 Mar
Muasisi wa Tip Top Connection Abdul Bonge afariki dunia
5 years ago
CCM Blog
TANZIA: IDDI SIMBA AFARIKI DUNIA

Taarifa zilizothibitishwa na mtoto wake, Sauda Simba Kilumanga zinasema Iddi Simba amefariki katika Hospitali ya JKCI alipokuwa akipatiwa matibabu.
5 years ago
CCM Blog
TANZIA: MDOGO LOWASSA AFARIKI DUNIA

Mdogo wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa anayefahamika kwa kwa jina la Bernard Lowassa, amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Aghakhan jijini Dar es salaam.
Mtoto wa Waziri Mkuu huyo Mstaafu Fred Lowassa amethibitisha hayo
"Ni kweli ndugu yetu Bernard lowassa amefariki yeye ni Baba yangu mdogo, na alikuwa amelazwa Aga Khan na hapa familia tunaenda hospitalini kwa ajili ya kukutana."- Amesema
10 years ago
GPL
TANZIA: MCHUNGAJI MTIKILA AFARIKI DUNIA
10 years ago
GPL
TANZIA: MWANAHABARI INNOCENT MANYUKU AFARIKI DUNIA
10 years ago
GPL
TANZIA: CHIGWELE CHE MUNDUGWAO AFARIKI DUNIA
10 years ago
Michuzi
TANZIA: CHE MUNDUGWAO AFARIKI DUNIA LEO

Kabla ya kufikwa na mauti, Che Mundugwao aliugua na kulazwa katika hospitali ya Muhimbili kwa muda mrefu.
Che Mundugwao alikuwa anashikiliwa katika gereza la Segerea kwa kukosa dhamana ya kesi yake, ya kukutwa na pasi za kusafiria 12 za watu tofauti tofauti bila kuwa na maelezo yake.
Taarifa zaidi zitawajia baadae...
10 years ago
Michuzi
TANZIA: Geoffrey Boardington Gondwe afariki dunia

Ataangwa kesho(27.08.2015) kwake Kunduchi saa 6 mchana. Mazishi yatafanyika katika makaburi ya Kinondoni saa kumi jioni.
Sisi tulimpenda, lakini BWANA alipenda zaidi. Jina lake BWANA na lihimidiwe...
AMINA!
11 years ago
Michuzi
TANZIA: MKUU WA WILAYA YA KALAMBO AFARIKI DUNIA
