TANZIA: MWANAHABARI INNOCENT MANYUKU AFARIKI DUNIA

Innocent Munyuku enzi za uhai wake. MHARIRI Mwandamizi wa New Habari Corporation, Innocent Munyuku amefariki dunia usiku wa kuamkia leo akiwa usingizini nyumbani kwake Kimara jijini Dar es Salaam. Ujumbe wa mwisho wa marehemu Innocent jana usiku. Baadhi ya marafiki wa marehemu wamethibitisha kupitia mtandao wa Kijamii wa Facebook kuwa wamewasiliana na marehemu usiku kupitia mtandao huo ambapo meseji yake ya mwisho… ...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog
TANZIA: IDDI SIMBA AFARIKI DUNIA

Taarifa zilizothibitishwa na mtoto wake, Sauda Simba Kilumanga zinasema Iddi Simba amefariki katika Hospitali ya JKCI alipokuwa akipatiwa matibabu.
5 years ago
CCM Blog
TANZIA: MDOGO LOWASSA AFARIKI DUNIA

Mdogo wa Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa anayefahamika kwa kwa jina la Bernard Lowassa, amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Aghakhan jijini Dar es salaam.
Mtoto wa Waziri Mkuu huyo Mstaafu Fred Lowassa amethibitisha hayo
"Ni kweli ndugu yetu Bernard lowassa amefariki yeye ni Baba yangu mdogo, na alikuwa amelazwa Aga Khan na hapa familia tunaenda hospitalini kwa ajili ya kukutana."- Amesema
10 years ago
GPL
TANZIA: ABDUL BONGE AFARIKI DUNIA
10 years ago
GPL
TANZIA: MCHUNGAJI MTIKILA AFARIKI DUNIA
10 years ago
GPL
TANZIA: CHIGWELE CHE MUNDUGWAO AFARIKI DUNIA
10 years ago
Michuzi
TANZIA: CHE MUNDUGWAO AFARIKI DUNIA LEO

Kabla ya kufikwa na mauti, Che Mundugwao aliugua na kulazwa katika hospitali ya Muhimbili kwa muda mrefu.
Che Mundugwao alikuwa anashikiliwa katika gereza la Segerea kwa kukosa dhamana ya kesi yake, ya kukutwa na pasi za kusafiria 12 za watu tofauti tofauti bila kuwa na maelezo yake.
Taarifa zaidi zitawajia baadae...
11 years ago
Michuzi
TANZIA: KIPA WA KIVULE VETERAN AFARIKI DUNIA

Marehemu Kipa Fundi Kipande (wa pili kutoka kushoto waliosimama akiwa na kikosi cha Kivule Veteran kabla ya kupambana na timu ya Pugu Kajiungeni hivi karibuni ========= ========== ============
TIMU ya Kivule Veteran ya Kitunda, Dar es Salaam inasikitika kutanga kifo cha kipa wake namba moja Fundi Kipande (44) aliyefariki jana nyunmbani kwake Kivule baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kivule Veteran, Peter Mwenda alisema marehemu...
10 years ago
Michuzi
TANZIA: Geoffrey Boardington Gondwe afariki dunia

Ataangwa kesho(27.08.2015) kwake Kunduchi saa 6 mchana. Mazishi yatafanyika katika makaburi ya Kinondoni saa kumi jioni.
Sisi tulimpenda, lakini BWANA alipenda zaidi. Jina lake BWANA na lihimidiwe...
AMINA!
11 years ago
Michuzi
TANZIA: MKUU WA WILAYA YA KALAMBO AFARIKI DUNIA
