Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PIGO:Msiba mzito Tip Top Connection

Vilio na simanzi vimetawala katika tasnia ya muziki nchini baada ya kuondokewa na aliyekuwa mwasisi na meneja wa kundi la muziki la Tip Top Connection, Abdul Bonge, aliyefariki dunia ghafla Jumamosi jioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Dogo Janja arejea Tip Top Connection

KINDA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdulaziz Abubakari ‘Dogo Janja’ amerejea tena jijini Dar es Salaam katika kundi la Tip Top Connection baada ya kuwa mbali na kundi hilo...

 

10 years ago

Bongo5

Muasisi wa Tip Top Connection Abdul Bonge afariki dunia

Muasisi wa Tip Top Connection, Abdul Bonge amefariki dunia jana. Chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana. Abdul ni kaka yake na Babu Tale na kwa pamoja walianzisha kundi hilo. Mastaa mbalimbali wametumia Instagram kutuma salamu zao za rambi rambi. “Nimesikia habari za msiba wa my brother Abdu Bonge jana usiku nimesikitika kweli.Nimefanya kazi na Abdu […]

 

11 years ago

CloudsFM

News:Dogo Janja arudi rasmi Tip Top Connection

Msanii wa Bongo Fleva,Dogo Janja ameAkifunguka kupitia XXL Clouds Fm Radio alisema kuwa ameona muziki wake hauendi sawa baada ya kuondoka kwenye kundi hilo ambapo sasa hivi yupo chini ya Meneja Babu Tale.rudi rasmi kwenye kundi lake la zamani Tip Top Conection baada ya kuzunguuka katika makundi tofauti tofauti.

 

9 years ago

Bongo5

Z Anto asema yupo tayari kufanya kazi chini ya Tip Top Connection tena

Z Anto na Babu TaleBaada ya meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale kutangaza kutamani kufanya kazi na Z Anto, msanii huyo naye amesema yupo tayari kurudi kundini. Akizungumza katika kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio, Z Anto amesema ana uwezo wa kufanya kazi na Tip Top Connection kama wataafikiana. “Mimi sina tatizo na Tale na hatujawahi kukoseana […]

 

10 years ago

GPL

TMK WANAUME, TIP TOP CONNECTION, MASHAUZI CLASSIC NA YAMOTO BAND KUIPAMBA BIRTHDAY PARTY YA MHE. TEMBA LEO

Amani Temba 'Mhe. Temba'. MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka Kundi la TMK Wanaume Family, Amani Temba 'Mhe. Temba' leo anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.  Yamoto Band. Sherehe hiyo itafanyika leo saa 3 usiku katika Ukumbi wa Equator Grill ulioko Mtoni jijini Dar ambapo burudani zitashushwa kutoka kwa Tmk Wanaume Family, Tip Top Connection, Mashauzi Classic na Yamoto Band. … ...

 

11 years ago

Mwananchi

Tido Mhando:Msiba mzito

Katika simulizi zake hizi za kila Jumapili, Tido Mhando anadokeza baadhi ya matukio ya kusisimua aliyokabiliana nayo kwenye kipindi cha zaidi ya miaka 40 ya utangazaji wa redio.

 

10 years ago

Habarileo

Ni msiba mzito, ajali yaua 42

Wakazi wa eneo la Changarawe, Kalenga mkoani Iringa wakitazama mabaki ya basi na lori baada ya ajali iliyotokea jana. (Picha na Frank Leonard).“NI ajali ambayo haijawahi kutokea katika maeneo haya,” ni baadhi ya maneno yaliyosikika kutoka kwa wakazi wengi wa mjini Mafinga na vitongoji vyake, ambao jana walishuhudia ajali katika historia ya mji huo.

 

10 years ago

Bongo5

Madee azungumzia kolabo mpya ya Tip Top na TMK

Muimbaji wa ‘Pombe Yangu’, Madee amesema kuwa kuna kolabo nyingine inakuja kati ya Tip Top na TMK. Akiongea na Bongo5 jana akiwa mkoani Tanga, Madee amesema muda umEfika wa kuachia ngoma ya pamoja kati ya Tip Top na TMK kukamilisha ahadi yao ya kutoa ngoma kila baada ya miaka mitatu. “Hii mipango tulishaipanga kwamba kila […]

 

11 years ago

Michuzi

Wanaume TMK,Tip Top Connections kupamba mechi ya Azam,Yanga

 Makundi mawili maarufu ya muziki wa kizazi kipya nchini TMK family na Tip Top Connections wanatarajiwa kupamba mechi za ligi kuu Vodacom ya Simba na Yanga na ile ya Azam FC dhidi ya JKT Ruvu inayochezwa kesho Jumamosi jijini dar es salaam.

Uwepo wa burudani hizo ni sehemu ya mkakati wa mdhamini mkuu wa ligi hiyo kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi ya Vodacom ya kuhitimisha msimu wa ligi wa 2013/2014 kwa kishindo na burudani ya aina yake.
Meneja Uhusiano wa Nje wa Vodacom...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani