Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni msiba mzito, ajali yaua 42

Wakazi wa eneo la Changarawe, Kalenga mkoani Iringa wakitazama mabaki ya basi na lori baada ya ajali iliyotokea jana. (Picha na Frank Leonard).“NI ajali ambayo haijawahi kutokea katika maeneo haya,” ni baadhi ya maneno yaliyosikika kutoka kwa wakazi wengi wa mjini Mafinga na vitongoji vyake, ambao jana walishuhudia ajali katika historia ya mji huo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tido Mhando:Msiba mzito

Katika simulizi zake hizi za kila Jumapili, Tido Mhando anadokeza baadhi ya matukio ya kusisimua aliyokabiliana nayo kwenye kipindi cha zaidi ya miaka 40 ya utangazaji wa redio.

 

10 years ago

Mwananchi

PIGO:Msiba mzito Tip Top Connection

Vilio na simanzi vimetawala katika tasnia ya muziki nchini baada ya kuondokewa na aliyekuwa mwasisi na meneja wa kundi la muziki la Tip Top Connection, Abdul Bonge, aliyefariki dunia ghafla Jumamosi jioni.

 

11 years ago

Mtanzania

Ajali yaua 19

Ajali ya basi la Morobest iliyotokea mkoani Dodoma

Ajali ya basi la Morobest iliyotokea mkoani Dodoma

Debora Sanja, Dodoma na Fadhili Athumani, Mwanga

WATU 19 wamepoteza maisha na wengine 64 wamejeruhiwa katika ajali mbili zilizotokea katika mikoa ya Dodoma na Kilimanjaro.

Habari kutoka mkoani Dodoma zinasema watu 17 wamefariki dunia baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori.

Ajali hiyo ilitokea jana saa 2 asubuhi, katika eneo la Pandambili, lililoko Barabara ya Dodoma-Morogoro.

Akizungumza na waandishi wa habari...

 

10 years ago

Habarileo

Ajali yaua 23

Mkuu wa wilaya ya Mufindi, Mboni Mhita akiwatembelea majeruhi hospitali ya Wilaya mjini Mafinga (Picha na Frank Leonard).WATU 23 wamekufa katika ajali iliyohusisha basi na lori mjini Mafinga, Iringa huku wengine 34 hali zao zikiwa mbaya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali yaua 21

WATU 21 wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la Mkupuka, Kibiti, wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani. Watu...

 

10 years ago

Habarileo

Ajali yaua 2 yajeruhi 45

David Misime.WATU wawili wamekufa papo hapo huku wengine 45 wakijeruhiwa baada ya basi la abiria lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mwanza kugongana uso kwa uso na roli katika kijiji cha Vikonje wilayani Chamwino mkoani hapa.

 

10 years ago

GPL

AJALI YAUA 33 MISRI

 Eneo maarufu kwa mapumziko nchini Misri, Sharm El-Sheikh. WATU 33 wamefariki dunia huku 41 wakijeruhiwa baada ya mabasi mawili kugongana katika Peninsula ya Sinai, Misri asubuhi hii. Mabasi hayo yalikuwa yamebeba watu waliokuwa wakielekea katika mapumziko eneo la Sharm El-Sheikh lililopo kwenye Peninsula ya Sinai. Basi moja lilipinduka baada ya ajali hiyo ikiwa ni kilomita 50 kutoka eneo hilo la mapumziko. Mabasi hayo...

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali yaua 12 Morogoro

Morogoro. Watu 12 wamefariki dunia papohapo na wengine ambao idadi yao haijafahamika wamejeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria  kugonga treni ya abiria eneo la Kiberege, Ifakara Wilaya ya Kilombero.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani