Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


AJALI YAUA 33 MISRI

 Eneo maarufu kwa mapumziko nchini Misri, Sharm El-Sheikh. WATU 33 wamefariki dunia huku 41 wakijeruhiwa baada ya mabasi mawili kugongana katika Peninsula ya Sinai, Misri asubuhi hii. Mabasi hayo yalikuwa yamebeba watu waliokuwa wakielekea katika mapumziko eneo la Sharm El-Sheikh lililopo kwenye Peninsula ya Sinai. Basi moja lilipinduka baada ya ajali hiyo ikiwa ni kilomita 50 kutoka eneo hilo la mapumziko. Mabasi hayo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Majeshi ya Misri yaua wapiganaji wa IS

Majeshi ya usalama ya Misri yamepambana vikali na wapiganaji wa Islamic State na kuua wapiganaji wengi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali yaua 21

WATU 21 wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la Mkupuka, Kibiti, wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani. Watu...

 

11 years ago

Mtanzania

Ajali yaua 19

Ajali ya basi la Morobest iliyotokea mkoani Dodoma

Ajali ya basi la Morobest iliyotokea mkoani Dodoma

Debora Sanja, Dodoma na Fadhili Athumani, Mwanga

WATU 19 wamepoteza maisha na wengine 64 wamejeruhiwa katika ajali mbili zilizotokea katika mikoa ya Dodoma na Kilimanjaro.

Habari kutoka mkoani Dodoma zinasema watu 17 wamefariki dunia baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori.

Ajali hiyo ilitokea jana saa 2 asubuhi, katika eneo la Pandambili, lililoko Barabara ya Dodoma-Morogoro.

Akizungumza na waandishi wa habari...

 

10 years ago

Habarileo

Ajali yaua 23

Mkuu wa wilaya ya Mufindi, Mboni Mhita akiwatembelea majeruhi hospitali ya Wilaya mjini Mafinga (Picha na Frank Leonard).WATU 23 wamekufa katika ajali iliyohusisha basi na lori mjini Mafinga, Iringa huku wengine 34 hali zao zikiwa mbaya.

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali yaua watano

Abiria watano wamekufa baada ya gari aina ya Landrover 110 waliyokuwa wanasafiria kusombwa na maji katika Kijiji cha Doromoni Wilaya ya Iramba.

 

10 years ago

GPL

AJALI YAUA 3 NJOMBE

Taswira baada ya ajali hiyo. WATU watatu waliokuwa wakitembea kwa mguu wamepoteza maisha papo hapo baada ya kugongwa na gari dogo lililopoteza mwelekeo mkoani Njombe usiku wa kuamkia leo. Gari dogo baada ya kuligonga lori la mafuta. Gari hilo lilipoteza uelekeo baada ya kumulikwa na lori la mafuta lililokuwa mbele yake na kuwagonga watu hao kisha kulivaa hilo lori na kuharibika vibaya. Watu waliokuwa ndani ya lori hilo...

 

11 years ago

GPL

AJALI YAUA 30 MWANZA

WATU 30 wamepoteza maisha huku wengine kadhaa wakijeruhiwa baada ya basi la Luhuye walilokuwa wakisafiria kutoka Musoma kwenda Mwanza kugonga mti na kupinduka wilayani Busega leo saa 3 asubuhi!

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali yaua 12 Morogoro

Morogoro. Watu 12 wamefariki dunia papohapo na wengine ambao idadi yao haijafahamika wamejeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria  kugonga treni ya abiria eneo la Kiberege, Ifakara Wilaya ya Kilombero.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali yaua wanawake 12

WANAWAKE 12 wamefariki dunia papo hapo na wengine saba kujeruhiwa wilayani Same, mkoani Kilimanjaro, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka msibani kugongana na magari mengine mawili. Kamanda wa Polisi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani