Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajali yaua wanawake 12

WANAWAKE 12 wamefariki dunia papo hapo na wengine saba kujeruhiwa wilayani Same, mkoani Kilimanjaro, baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka msibani kugongana na magari mengine mawili. Kamanda wa Polisi wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Ajali yaua 23

Mkuu wa wilaya ya Mufindi, Mboni Mhita akiwatembelea majeruhi hospitali ya Wilaya mjini Mafinga (Picha na Frank Leonard).WATU 23 wamekufa katika ajali iliyohusisha basi na lori mjini Mafinga, Iringa huku wengine 34 hali zao zikiwa mbaya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali yaua 21

WATU 21 wamefariki dunia na wengine tisa kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori katika eneo la Mkupuka, Kibiti, wilayani Rufiji, Mkoa wa Pwani. Watu...

 

11 years ago

Mtanzania

Ajali yaua 19

Ajali ya basi la Morobest iliyotokea mkoani Dodoma

Ajali ya basi la Morobest iliyotokea mkoani Dodoma

Debora Sanja, Dodoma na Fadhili Athumani, Mwanga

WATU 19 wamepoteza maisha na wengine 64 wamejeruhiwa katika ajali mbili zilizotokea katika mikoa ya Dodoma na Kilimanjaro.

Habari kutoka mkoani Dodoma zinasema watu 17 wamefariki dunia baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori.

Ajali hiyo ilitokea jana saa 2 asubuhi, katika eneo la Pandambili, lililoko Barabara ya Dodoma-Morogoro.

Akizungumza na waandishi wa habari...

 

10 years ago

Habarileo

Ajali yaua 2 yajeruhi 45

David Misime.WATU wawili wamekufa papo hapo huku wengine 45 wakijeruhiwa baada ya basi la abiria lililokuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Mwanza kugongana uso kwa uso na roli katika kijiji cha Vikonje wilayani Chamwino mkoani hapa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajali nyingine yaua 13

WATU 13 wamefariki dunia papo hapo  na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka Itigi kwenda mkoani Singida kupata ajali katika Kijiji cha Isuna, Wilaya ya Ikungi, mkoani...

 

11 years ago

Mwananchi

Ajali yaua watano

Abiria watano wamekufa baada ya gari aina ya Landrover 110 waliyokuwa wanasafiria kusombwa na maji katika Kijiji cha Doromoni Wilaya ya Iramba.

 

10 years ago

Mwananchi

Ajali yaua 12 Morogoro

Morogoro. Watu 12 wamefariki dunia papohapo na wengine ambao idadi yao haijafahamika wamejeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria  kugonga treni ya abiria eneo la Kiberege, Ifakara Wilaya ya Kilombero.

 

10 years ago

GPL

AJALI YAUA 33 MISRI

 Eneo maarufu kwa mapumziko nchini Misri, Sharm El-Sheikh. WATU 33 wamefariki dunia huku 41 wakijeruhiwa baada ya mabasi mawili kugongana katika Peninsula ya Sinai, Misri asubuhi hii. Mabasi hayo yalikuwa yamebeba watu waliokuwa wakielekea katika mapumziko eneo la Sharm El-Sheikh lililopo kwenye Peninsula ya Sinai. Basi moja lilipinduka baada ya ajali hiyo ikiwa ni kilomita 50 kutoka eneo hilo la mapumziko. Mabasi hayo...

 

10 years ago

GPL

AJALI YAUA 11 TANGA

WATU 11 wanadaiwa kufariki dunia huku wengine wakijeruhiwa katika ajali mbaya eneo la Mkanyageni mkoani Tanga baada ya gari aina ya Toyota Coaster yenye namba za usajili T 410 BJD kugongana na Scania namba T 605 ABJ asubuhi hii. Katika ajali hiyo, Coaster lilikuwa likitoka mkoani Tanga kwenda Lushoto na madereva wa magari yote mawili hawajulikani walipo baada ya ajali. Miili ya marehemu katika ajali hiyo imehifadhiwa katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani