Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Abdul Bonge kuzikwa leo mkoani Morogoro

Mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection na Meneja wa kundi hilo, marehemu Abdul Shaban Tale Tale 'Abdu Bonge' anatarajiwa kuzikwa kijijini kwao,Matombo mkoani Morogoro.

Akizungumza na mtandao huu, Meneja wa Kundi la Tip Top Connection na mdogo wa marehemu, Hamisi Shaban ‘Bab Tale’, alisema siku ya tukio Abdul Bonge akiwa maskani ya Tip Top Connection iliyopo Magomeni-Kagera alifuatwa na kijana mmoja na kuambiwa rafiki yake aitwaye Nassoro Idd alikuwa akipigana na mkewe hivyo aliagizwa na...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Abdu Bonge kuzikwa leo Mkuyuni, Morogoro

NA FARAJA MASINDE
MWILI wa aliyekuwa mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection, Abdul TaleTale (Abdu Bonge), unatarajiwa kuzikwa leo kijijini kwao Mkuyuni mkoani Morogoro.
Wakati mwanzilishi huyo wa Tip Top akizikwa leo, msanii wa vichekesho aliyetambulika kwa jina la Defender amezikwa jana katika makaburi ya Magomeni Mwinyimkuu jijini Dar es Salaam.
Kifo cha msanii huyo kinadaiwa kimetokana na matatizo ya figo.
Kiongozi wa kundi la Mkubwa na Wanae, Saidi Fella, aliliambia MTANZANIA kwamba,...

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA ABDUL BONGE UTATA MTUPU, KUZIKWA MORO

Umati wa vijana ukiwa hauamini kutokea kwa kifo cha Abdul Bonge. Meneja wa TMK Wanaume Family, Yamoto Band na Diamond, Said Fella akiwaeleza kinachoendelea baadhi ya mastaa waliofika msibani hapo. Msanii wa filamu za Kibongo, Baba Haji, akiwaelekeza wenzake ulipo msiba.…

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND THE PLATNUMZ NA ZARI WAHUDHURIA KWENYE MSIBA WA ABDUL BONGE JIJINI MOROGORO MKUYUNI


Diamond Platinum akiwa kweny mazishi ya Abdu Bonge Mkoani Morogoro leo.Diamond Platinum Ameongozana na Mpenzi wake Zari the Big boss kwenye Mazishi ya Aliyekuwa Mwanzilishi wa Kundi la Tip top Marehemu Abdul Bonge Aliyefariki Majuzi na Mwili wake kusafirishwa kwenda Morogoro Tayari kwa Mazishi yanayofanyika Mkuyuni Mkoani Morogoro.haya kama utakuwa unaufahamu na kumbukumbu nzuri kumekuwa na tuhuma za kuskika yakuwa diamond the platnumz huwa hana kawaida ya kuhudhuria kwenye misiba ya...

 

10 years ago

GPL

MAMIA WAMZIKA ABDUL BONGE KIJIJINI KWAO MKUYUNI, MATOMBO MKOANI MORO

Maziko ya Mwanzilishi na aliyewahi kuwa Meneja wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge yakifanyika leo kijijini kwao Mkuyuni, Matombo mkoani Morogoro. Mwili wa Abdul Bonge ukiombewa kabla ya maziko leo. Wanamuziki mbalimbali wakiwemo Shetta, Diamond Platnumz,…

 

11 years ago

Michuzi

Mwili wa Marehemu Gebbo Peter waagwa leo nyumbani kwake Vingunguti,Kuzikwa kijijini kwao Kigurunyembe mkoani Morogoro

Sehemu ya wachezaji mpira wa sasa na wazamani wakiwa wamesimama pembeni ya Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mchezaji wa Timu ya Simba miaka ya nyuma,Marehemu Gebbo Peter aliefariki jana kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam.hapa wakiwa nyumbani kwake Vingunguti tayari kwa safari ya kwenda kwenye maziko yake Kigurunyembe mkoani Morogoro (Picha na Evance Ng'ingo)
Wadau mbali mbali wa soka wakiwemo viongozi wa soka wakipita kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mflame Abdullah bin Abdul-Aziz wa Saudia kuzikwa leo

Mflame Abdullah bin Abdul-Aziz wa Saudia (pichani) aliyefariki usiku wa kuamkia leo anatarajiwa kuzikwa leo baada ya swala ya Ijumaa. Taarifa iliyotangazwa na televisheni ya nchi hiyo imesema kuwa, uongozi umechukuliwa na Salman bin Abdulaziz ndugu wa Abdullah. Mfalme huyo aliyekuwa anakaribia umri wa miaka 90 alipelekwa katika hospitali moja ya mjini Riyadh mwanzoni mwa mwezi huu kwa ajili ya matibabu baada ya hali yake ya kiafya kuzorota ambapo alikuwa na matatizo katika mfumo wa...

 

10 years ago

GPL

TANZIA: ABDUL BONGE AFARIKI DUNIA

Abdul Bonge enzi za uhai wake. ALIYEWAHI kuwa Meneja wa wasanii na mwanzilishi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Chanzo cha kifo cha Abdul Bonge bado hakijafahamika ila msiba upo Manzese Tip Top. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN

 

10 years ago

GPL

MWILI WA ABDUL BONGE WAHAMISHIWA MUHIMBILI KWA UCHUNGUZI

Mwili wa Abdu Bonge ukitolewa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Mwanyamala jijini Dar ili kuhamishiwa Muhimbili. …Ukiwa ndani ya gari kwa ajili ya kupelekwa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi. Ndugu wakijiandaa na safari.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani