MAMIA WAMZIKA ABDUL BONGE KIJIJINI KWAO MKUYUNI, MATOMBO MKOANI MORO
Maziko ya Mwanzilishi na aliyewahi kuwa Meneja wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge yakifanyika leo kijijini kwao Mkuyuni, Matombo mkoani Morogoro. Mwili wa Abdul Bonge ukiombewa kabla ya maziko leo. Wanamuziki mbalimbali wakiwemo Shetta, Diamond Platnumz,…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo01 Apr
DIAMOND THE PLATNUMZ NA ZARI WAHUDHURIA KWENYE MSIBA WA ABDUL BONGE JIJINI MOROGORO MKUYUNI
Diamond Platinum akiwa kweny mazishi ya Abdu Bonge Mkoani Morogoro leo.Diamond Platinum Ameongozana na Mpenzi wake Zari the Big boss kwenye Mazishi ya Aliyekuwa Mwanzilishi wa Kundi la Tip top Marehemu Abdul Bonge Aliyefariki Majuzi na Mwili wake kusafirishwa kwenda Morogoro Tayari kwa Mazishi yanayofanyika Mkuyuni Mkoani Morogoro.haya kama utakuwa unaufahamu na kumbukumbu nzuri kumekuwa na tuhuma za kuskika yakuwa diamond the platnumz huwa hana kawaida ya kuhudhuria kwenye misiba ya...
10 years ago
GPLKIFO CHA ABDUL BONGE UTATA MTUPU, KUZIKWA MORO
10 years ago
GPLSAFARI YA MWISHO YA ABDUL BONGE ILIVYOKUWA KUTOKA DAR KWENDA MORO
10 years ago
CloudsFM30 Mar
Abdul Bonge kuzikwa leo mkoani Morogoro
Mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection na Meneja wa kundi hilo, marehemu Abdul Shaban Tale Tale 'Abdu Bonge' anatarajiwa kuzikwa kijijini kwao,Matombo mkoani Morogoro.
Akizungumza na mtandao huu, Meneja wa Kundi la Tip Top Connection na mdogo wa marehemu, Hamisi Shaban ‘Bab Tale’, alisema siku ya tukio Abdul Bonge akiwa maskani ya Tip Top Connection iliyopo Magomeni-Kagera alifuatwa na kijana mmoja na kuambiwa rafiki yake aitwaye Nassoro Idd alikuwa akipigana na mkewe hivyo aliagizwa na...
10 years ago
Mtanzania30 Mar
Abdu Bonge kuzikwa leo Mkuyuni, Morogoro
NA FARAJA MASINDE
MWILI wa aliyekuwa mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection, Abdul TaleTale (Abdu Bonge), unatarajiwa kuzikwa leo kijijini kwao Mkuyuni mkoani Morogoro.
Wakati mwanzilishi huyo wa Tip Top akizikwa leo, msanii wa vichekesho aliyetambulika kwa jina la Defender amezikwa jana katika makaburi ya Magomeni Mwinyimkuu jijini Dar es Salaam.
Kifo cha msanii huyo kinadaiwa kimetokana na matatizo ya figo.
Kiongozi wa kundi la Mkubwa na Wanae, Saidi Fella, aliliambia MTANZANIA kwamba,...
11 years ago
MichuziMwili wa Marehemu Gebbo Peter waagwa leo nyumbani kwake Vingunguti,Kuzikwa kijijini kwao Kigurunyembe mkoani Morogoro
Wadau mbali mbali wa soka wakiwemo viongozi wa soka wakipita kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa...
11 years ago
Habarileo07 Jan
Maelfu wamzika Dk Mgimwa kijijini kwake
RAIS Jakaya Kikwete na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, jana waliongoza maelfu ya wakazi wa mkoani Iringa na mikoa ya jirani katika maziko ya aliyekuwa Waziri wa Fedha na Mbunge wa Kalenga, Dk William Mgimwa (CCM).
10 years ago
MichuziTASWIRA ZA SOKO LA MAZAO LA MATOMBO MKOANI MOROGOGO
Muonekano wa Soko la zamani.
PICHA NA JOHN NDITI.
10 years ago
GPLTANZIA: ABDUL BONGE AFARIKI DUNIA