Abdu Bonge kuzikwa leo Mkuyuni, Morogoro
NA FARAJA MASINDE
MWILI wa aliyekuwa mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection, Abdul TaleTale (Abdu Bonge), unatarajiwa kuzikwa leo kijijini kwao Mkuyuni mkoani Morogoro.
Wakati mwanzilishi huyo wa Tip Top akizikwa leo, msanii wa vichekesho aliyetambulika kwa jina la Defender amezikwa jana katika makaburi ya Magomeni Mwinyimkuu jijini Dar es Salaam.
Kifo cha msanii huyo kinadaiwa kimetokana na matatizo ya figo.
Kiongozi wa kundi la Mkubwa na Wanae, Saidi Fella, aliliambia MTANZANIA kwamba,...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM30 Mar
Abdul Bonge kuzikwa leo mkoani Morogoro
Mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection na Meneja wa kundi hilo, marehemu Abdul Shaban Tale Tale 'Abdu Bonge' anatarajiwa kuzikwa kijijini kwao,Matombo mkoani Morogoro.
Akizungumza na mtandao huu, Meneja wa Kundi la Tip Top Connection na mdogo wa marehemu, Hamisi Shaban ‘Bab Tale’, alisema siku ya tukio Abdul Bonge akiwa maskani ya Tip Top Connection iliyopo Magomeni-Kagera alifuatwa na kijana mmoja na kuambiwa rafiki yake aitwaye Nassoro Idd alikuwa akipigana na mkewe hivyo aliagizwa na...
10 years ago
Vijimambo01 Apr
DIAMOND THE PLATNUMZ NA ZARI WAHUDHURIA KWENYE MSIBA WA ABDUL BONGE JIJINI MOROGORO MKUYUNI

Diamond Platinum akiwa kweny mazishi ya Abdu Bonge Mkoani Morogoro leo.Diamond Platinum Ameongozana na Mpenzi wake Zari the Big boss kwenye Mazishi ya Aliyekuwa Mwanzilishi wa Kundi la Tip top Marehemu Abdul Bonge Aliyefariki Majuzi na Mwili wake kusafirishwa kwenda Morogoro Tayari kwa Mazishi yanayofanyika Mkuyuni Mkoani Morogoro.

10 years ago
GPLMAMIA WAMZIKA ABDUL BONGE KIJIJINI KWAO MKUYUNI, MATOMBO MKOANI MORO
10 years ago
Mtanzania06 May
Baba wa Babu Tale azikwa Mkuyuni Morogoro
NA THERESIA GASPER
BABA mzazi wa Meneja wa Abdul Nassib ‘Diamond’, Babu Tale, amezikwa jana kijijini kwao Mkuyuni, mjini Morogoro.
Baada ya mazishi hayo, baadhi ya wasindikizaji walirejea jijini Dar es Salaam kuendelea na shughuli zao na mipango mingine ya kumaliza msiba.
Msanii wa kundi hilo, Madee, alisema baada ya mazishi wote watarejea jijini Dar es Salaam, ambapo itasomwa dua ya kuhitimisha msiba huo nyumbani kwa Babu Tale, Magomeni Kagera.
“Tupo njiani kuelekea Morogoro kwa ajili ya...
10 years ago
Dewji Blog29 Mar
Picha za msiba nyumbani kwa aliyekuwa Meneja wa TIPTOP Connection Abdu Bonge



MB Doggy...
11 years ago
Michuzi
Mwili wa Marehemu Gebbo Peter waagwa leo nyumbani kwake Vingunguti,Kuzikwa kijijini kwao Kigurunyembe mkoani Morogoro




10 years ago
Vijimambo
HAKIKA ABDU BONGE ALIKUWA KIPENZI CHA WATU MAJONZI NA HUZUNI VYA TAWALA TIP TOP














10 years ago
GPLKIFO CHA ABDUL BONGE UTATA MTUPU, KUZIKWA MORO
11 years ago
GPL
MWILI WA SHERRY MAGALI WAAGWA NA KUZIKWA JANA MOROGORO