Picha za msiba nyumbani kwa aliyekuwa Meneja wa TIPTOP Connection Abdu Bonge
Abdu Bonge alifariki jana Nyumbani majira ya Jioni alipokuwa akiamulia ugomvi wa watu wake wa karibu ndipo alianguka vibaya kwenye sakafu na kupoteza maisha, Mwili bado uko hospitali kwa uchunguzi zaidi na taratibu zikikamilika kesho mwili utasafirishwa kuelekea Morogoro Mbuyuni Kilometa takribani 100 kutokea Morogoro Mjini ambako ni Nyumbani kwa Marehemu. kwa sasa msiba upo Magomeni Njiapanda ya Kagera maskani ya Tiptop Connection.PICHA ZAIDI INGIA >>HARAKATI ZA BONGO
MB Doggy...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania30 Mar
Abdu Bonge kuzikwa leo Mkuyuni, Morogoro
NA FARAJA MASINDE
MWILI wa aliyekuwa mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection, Abdul TaleTale (Abdu Bonge), unatarajiwa kuzikwa leo kijijini kwao Mkuyuni mkoani Morogoro.
Wakati mwanzilishi huyo wa Tip Top akizikwa leo, msanii wa vichekesho aliyetambulika kwa jina la Defender amezikwa jana katika makaburi ya Magomeni Mwinyimkuu jijini Dar es Salaam.
Kifo cha msanii huyo kinadaiwa kimetokana na matatizo ya figo.
Kiongozi wa kundi la Mkubwa na Wanae, Saidi Fella, aliliambia MTANZANIA kwamba,...
10 years ago
Bongo529 Mar
Muasisi wa Tip Top Connection Abdul Bonge afariki dunia
10 years ago
GPLTASWIRA NYUMBANI KWA ALIYEKUWA MBUNGE WA UKONGA DAR
10 years ago
Vijimambo
HAKIKA ABDU BONGE ALIKUWA KIPENZI CHA WATU MAJONZI NA HUZUNI VYA TAWALA TIP TOP














10 years ago
GPL
TASWIRA ZA MSIBA NYUMBANI KWA MTIKILA
9 years ago
Bongo525 Nov
Hanscana aenda Afrika Kusini kutafuta connection za kimataifa na kuongeza ujuzi kwa Justin Campos (picha)

Muongozaji na mtayarishaji wa video Hanscana yuko nchini Afrika Kusini, alikoenda kwaajili ya kuongeza ujuzi pamoja na kutafuta connection za kuwezesha kazi zake zifike kwenye vituo vya runinga vya kimataifa.
Hanscana akiwa an Justin Campos na mkewe Candice
Wiki hii Hanscana amekuwa akipost picha mbalimbali Instagram akiwa na director Justin Campos na mke wake Candice Campos ambaye pia ni producer wa video wa kampuni ya Gorilla Films.
Hanscana amepiga story na Bongo 5 na ametueleza...
10 years ago
Mwananchi30 Mar
PIGO:Msiba mzito Tip Top Connection
10 years ago
MichuziMH. MIZENGO PINDA AHANI MSIBA WA CHIFU ABDU MKWAWA
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Chief wa Wahehe,Mtwa Adam Mkwawa wa II wakati alipokwenda nyumbani kwa Chifu huyo, Kalenga Iringa...
10 years ago
GPL
TASWIRA ZA MSIBA NYUMBANI KWA FILIKUNJOMBE, MBAGALA KIJICHI-DAR