Mflame Abdullah bin Abdul-Aziz wa Saudia kuzikwa leo
Mflame Abdullah bin Abdul-Aziz wa Saudia (pichani) aliyefariki usiku wa kuamkia leo anatarajiwa kuzikwa leo baada ya swala ya Ijumaa. Taarifa iliyotangazwa na televisheni ya nchi hiyo imesema kuwa, uongozi umechukuliwa na Salman bin Abdulaziz ndugu wa Abdullah. Mfalme huyo aliyekuwa anakaribia umri wa miaka 90 alipelekwa katika hospitali moja ya mjini Riyadh mwanzoni mwa mwezi huu kwa ajili ya matibabu baada ya hali yake ya kiafya kuzorota ambapo alikuwa na matatizo katika mfumo wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziJK AOMBOLEZA KIFO CHA Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud wa saudi Arabia
Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud (90) ambaye alifariki jana, Alhamisi, Januari 22, 2015, na kuzikwa leo, Ijumaa, Januari 23, 2015 mjini Riyadh.Katika salamu zake kwa Mfalme mpya, Mfalme Salman bin Abdul Aziz al Saud, Rais Kikwete amesema kuwa anaungana na wananchi wa Saudi Arabia na dunia nzima kuomboleza kifo cha kiongozi aliyetoa mchango mkubwa...
10 years ago
Dewji Blog25 Jan
Rais Kikwete aelekea Saudi Arabia kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete (pichani) amekwenda Saudi Arabia asubuhi ya leo, Jumapili, Januari 25, 2015, kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud aliyefariki Alhamisi na kuzikwa Ijumaa ya wiki iliyopita.
Baada ya kuhani msiba wa Mfalme Abdullah, Rais Kikwete ataendelea na safari yake kwenda nchi za Ujerumani na Ufaransa kwa ziara za kikazi.
Mjini Berlin, Ujerumani ambako Rais Kikwete alitarajiwa kuwasili kesho, Jumatatu, Januari...
10 years ago
CloudsFM30 Mar
Abdul Bonge kuzikwa leo mkoani Morogoro
Mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection na Meneja wa kundi hilo, marehemu Abdul Shaban Tale Tale 'Abdu Bonge' anatarajiwa kuzikwa kijijini kwao,Matombo mkoani Morogoro.
Akizungumza na mtandao huu, Meneja wa Kundi la Tip Top Connection na mdogo wa marehemu, Hamisi Shaban ‘Bab Tale’, alisema siku ya tukio Abdul Bonge akiwa maskani ya Tip Top Connection iliyopo Magomeni-Kagera alifuatwa na kijana mmoja na kuambiwa rafiki yake aitwaye Nassoro Idd alikuwa akipigana na mkewe hivyo aliagizwa na...
10 years ago
BBCSwahili31 Dec
Mfalme Abdullah wa Saudia alazwa
10 years ago
BBCSwahili24 Jan
Mfalme Abdullah:Viongozi waelekea Saudia
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Maswali kumi kwa Mbunge wangu: Abdul-Aziz Abood
10 years ago
GPLKIFO CHA ABDUL BONGE UTATA MTUPU, KUZIKWA MORO
10 years ago
Tanzania Daima31 Aug
ABDULLAH ABDULLAH: Mgombea anayekwamisha matokeo ya uchaguzi Afghanistan
SHUGHULI ya kuhakiki kura nchini Afghanistan inaendelea licha ya wagombea wawili kujiondoa Agosti 27, mwaka huu. Mchakato huo wa kuhesabu upya kura unalenga kusuluhisha mzozo wa uchaguzi ulioibuka kufuatia duru...