Maswali kumi kwa Mbunge wangu: Abdul-Aziz Abood
Tatizo la ukosefu wa maji litakwisha muda si mrefu kwa kuwa naendelea kufuatilia kwa karibu miradi ya maji iliyopo jimboni kwangu ukiwepo mradi wa MCC ambayo itaboresha vyanzo vya maji, lakini pia kwa juhudi zangu binafsi nimechimba visima virefu 24 katika maeneo mbalimbali yenye kero ya maji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Jan
Maswali Kumi kwa Mbunge wangu:Said Mtanda
Uliahidi ujenzi wa miundombinu ya huduma za kijamii, maji na barabara utekezaji wa ahadi hiyo ukoje?
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Maswali kumi kwa mbunge wangu:Said Barwani
Wakati unaomba ubunge ulituahidi kuwa tukikuchagua utahakikisha unasimamia sera ya afya na kwamba wanawake wajawazito wanapewa huduma, lakini hivi sasa wanalazimika kununua vifaa vya kuwasaidia kujifungua.
10 years ago
Mwananchi03 Feb
Maswali kumi kwa mbunge wangu Aliko Kibona
Wewe na Rais Jakaya Kikwete wakati wa kampeni za 2010 mliahidi kujenga barabara ya lami kutoka Mpemba hadi Isongole, lakini hivi sasa hakuna dalili wala maelezo kwa nini jambo hilo halijatekelezwa.
10 years ago
Vijimambo18 Nov
Maswali Kumi kwa Mbunge wangu:Makongoro Mahanga
![](http://www.mwananchi.co.tz/image/view/-/2526114/highRes/878424/-/maxw/600/-/yngo5f/-/Makongoro.jpg)
10 years ago
Mwananchi25 Nov
Maswali kumi kwa mbunge wangu:Joshua Nasari
Shamba la Madiira ni miongoni mwa mashamba 11 ambayo umiliki wake ulifutwa na Wizara ya Ardhi kwa agizo la Rais tangu mwaka 1999. Kwa sababu za uzembe na ufisadi mpaka sasa halijarudishwa kwa wananchi au halmashauri.
10 years ago
Mwananchi28 Jan
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:January Makamba
Wakati unaomba kura ulituahidi ifikapo mwaka 2014, Mji wa Soni utakuwa hauna tena shida ya maji, lakini mpaka sasa tatizo liko palepale, bado wakazi wa Soni wanahangaika kupata maji. Je, una mkakati gani wa kutuletea maji wakazi wa Soni.
10 years ago
Mwananchi17 Dec
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Murtaza Mangungu
Jibu: Barabara hii imefanyiwa matengenezo makubwa ikiwa ni pamoja na ujenzi wa madaraja yote na sasa inapitika kipindi chote. Lipo tatizo katika eneo la Kinywanyu ambalo katika bajeti ya mwaka huu litafanyiwa matengenezo makubwa. Ujenzi pia umefanyika Barabara ya Nasaya - Mtondoa Kimwaga - Kandawale.
10 years ago
Mwananchi06 Nov
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Mathias Chikawe
Umefanya mambo gani katika kuinua sekta ya elimu tangu uingie madarakani 2005 hadi sasa?
Jibu: Wakati naingia madarakani mwaka 2005 shule za sekondari zilikuwa sita lakini sasa zipo 19. Nimejenga bweni moja shule maalumu ya wasichana wanalala wanafunzi 45.
10 years ago
Mwananchi22 Jan
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Israel Natse
1. Agnes Michael, mkazi wa Kijiji cha Gongali, Kata ya Qurus.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania