Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Mathias Chikawe
Umefanya mambo gani katika kuinua sekta ya elimu tangu uingie madarakani 2005 hadi sasa? Jibu: Wakati naingia madarakani mwaka 2005 shule za sekondari zilikuwa sita lakini sasa zipo 19. Nimejenga bweni moja shule maalumu ya wasichana wanalala wanafunzi 45.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi13 Jan
Maswali Kumi kwa Mbunge wangu:Said Mtanda
Uliahidi ujenzi wa miundombinu ya huduma za kijamii, maji na barabara utekezaji wa ahadi hiyo ukoje?
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Maswali kumi kwa mbunge wangu:Said Barwani
Wakati unaomba ubunge ulituahidi kuwa tukikuchagua utahakikisha unasimamia sera ya afya na kwamba wanawake wajawazito wanapewa huduma, lakini hivi sasa wanalazimika kununua vifaa vya kuwasaidia kujifungua.
10 years ago
Mwananchi04 Feb
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Moses Machali
Wilaya ya Kasulu inakabiliwa na wimbi kubwa la uhalifu na kila wanapokamatwa hata kama kuna vithibitisho vya kutosha, wahalifu hao huachwa bila kuchukuliwa hatua za kisheria na hivyo kuzidi kwa vitendo vya uhalifu. Utafanya nini ili kukomesha tabia ya polisi kuwaachia watuhumiwa kienyeji?
10 years ago
Mwananchi05 Feb
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Gregory Teu
Uliahidi kuwa karibu na wananchi wako lakini hata ulipovuliwa unaibu waziri bado uko Dar je, ulitudanganya?
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Maswali kumi kwa Mbunge wangu:Mustapha Akunaay
Tangu niwe Mbunge wananchi wa jimbo la Mbulu wamejua haki zao za kikatiba na wamekuwa jasiri kutetea na kudai haki hizo.
10 years ago
Mwananchi25 Dec
Maswali kumi kwa Mbunge wangu: Zitto Kabwe
Vijana wengi wamekuwa wakijishughulisha na kazi mbalimbali za kujiajiri kama vile kilimo, kuchimba mawe na mchanga, uvuvi na nyinginezo. Vijana wa Msimba walioamua kujiajiri kwa kufyatua matofali wanatozwa ushuru eti tofali ni
10 years ago
Mwananchi02 Dec
Maswali kumi kwa mbunge wangu:Stephen Ngonyani
Wakati unataka ubunge, uliahidi kufikisha umeme katika vijiji vya Antakaye, Migombani, Turiani na Mtemiroda lakini hadi leo hakuna umeme, mpango ukoje?
10 years ago
Mwananchi12 Nov
Maswali kumi kwa mbunge wangu:Joseph Mbilinyi
Lini Jiji la Mbeya litapata barabara za njia mbili kupunguza msongamano?
10 years ago
Mwananchi04 Dec
Maswali Kumi kwa Mbunge wangu: Suleiman Jafo
Kwanini Zahanati ya Kisanga haifunguliwi? Na wewe ulikuwa mstari wa mbele kuhakikisha tunapata vifaa?
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania