ABDULLAH ABDULLAH: Mgombea anayekwamisha matokeo ya uchaguzi Afghanistan
SHUGHULI ya kuhakiki kura nchini Afghanistan inaendelea licha ya wagombea wawili kujiondoa Agosti 27, mwaka huu. Mchakato huo wa kuhesabu upya kura unalenga kusuluhisha mzozo wa uchaguzi ulioibuka kufuatia duru...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili27 Aug
Afghanistan:Abdullah asusia hesabu ya kura
10 years ago
VijimamboMKUTANO MKUU ADC WAMPITISHA, CHIEF LUTASOLA YEMBA KUWA MGOMBEA URAIS TANZANIA BARA, SAID MIRAJI ABDULLAH MGOMBEA MWENZA
10 years ago
BBCSwahili23 Jan
Mfalme Abdullah afariki dunia
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/sInoKrQLV58/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo23 Jan
Mfalme Abdullah afariki dunia
![](http://www.bigprojectme.com/wp-content/uploads/2013/12/saudi-king-abdulla.jpg)
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa mfalme wa Saudi Abdullah bin Abdulaziz amefariki dunia akiwa hospitalini .
Tamko la kifo cha mfalme huyo zilitolewa na kaka wa mfalme huyo aitwaye , Salman,ambaye naye aliwahi kuwa mfalme.
Kabla ya tamko hilo television ya taifa la Saudi lilikatiza matangazo yake na kuweka nyimbo za quraan ,kama ishara ya kifo cha kiongozi wa juu wa ufalme.
King Abdullah, amefariki dunia akiwa na miaka 90, alilazwa hospitalini kwa wiki kadhaa...
10 years ago
BBCSwahili31 Dec
Mfalme Abdullah wa Saudia alazwa
10 years ago
BBCSwahili24 Jan
Mfalme Abdullah:Viongozi waelekea Saudia
9 years ago
Dewji Blog26 Aug
Happy Birthday mdau Abdullah Zulu Lyana
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mdau mkubwa wa Modewji blog Wakili wa kujitegemea na Mwenyekiti wa CCM Tawi la Sea View Upanga, ABDULLAH ZULU LYANA, (Pichani) anatimiza miaka kadhaa tangu kuzaliwa.
Modewjiblog: Inakutakia maisha marefu, afya njema, baraka tele na Mungu akuongezee hekima maradufu na akuongoze na yaliyo mema kwenye shughuli zako za kila siku.