Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWILI WA ABDUL BONGE WAHAMISHIWA MUHIMBILI KWA UCHUNGUZI

Mwili wa Abdu Bonge ukitolewa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha Hospitali ya Mwanyamala jijini Dar ili kuhamishiwa Muhimbili. …Ukiwa ndani ya gari kwa ajili ya kupelekwa Muhimbili kwa uchunguzi zaidi. Ndugu wakijiandaa na safari.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

TANZIA: ABDUL BONGE AFARIKI DUNIA

Abdul Bonge enzi za uhai wake. ALIYEWAHI kuwa Meneja wa wasanii na mwanzilishi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Chanzo cha kifo cha Abdul Bonge bado hakijafahamika ila msiba upo Manzese Tip Top. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMEN

 

10 years ago

CloudsFM

Abdul Bonge kuzikwa leo mkoani Morogoro

Mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection na Meneja wa kundi hilo, marehemu Abdul Shaban Tale Tale 'Abdu Bonge' anatarajiwa kuzikwa kijijini kwao,Matombo mkoani Morogoro.

Akizungumza na mtandao huu, Meneja wa Kundi la Tip Top Connection na mdogo wa marehemu, Hamisi Shaban ‘Bab Tale’, alisema siku ya tukio Abdul Bonge akiwa maskani ya Tip Top Connection iliyopo Magomeni-Kagera alifuatwa na kijana mmoja na kuambiwa rafiki yake aitwaye Nassoro Idd alikuwa akipigana na mkewe hivyo aliagizwa na...

 

10 years ago

Bongo5

Muasisi wa Tip Top Connection Abdul Bonge afariki dunia

Muasisi wa Tip Top Connection, Abdul Bonge amefariki dunia jana. Chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana. Abdul ni kaka yake na Babu Tale na kwa pamoja walianzisha kundi hilo. Mastaa mbalimbali wametumia Instagram kutuma salamu zao za rambi rambi. “Nimesikia habari za msiba wa my brother Abdu Bonge jana usiku nimesikitika kweli.Nimefanya kazi na Abdu […]

 

10 years ago

GPL

KIFO CHA ABDUL BONGE UTATA MTUPU, KUZIKWA MORO

Umati wa vijana ukiwa hauamini kutokea kwa kifo cha Abdul Bonge. Meneja wa TMK Wanaume Family, Yamoto Band na Diamond, Said Fella akiwaeleza kinachoendelea baadhi ya mastaa waliofika msibani hapo. Msanii wa filamu za Kibongo, Baba Haji, akiwaelekeza wenzake ulipo msiba.…

 

10 years ago

GPL

SAFARI YA MWISHO YA ABDUL BONGE ILIVYOKUWA KUTOKA DAR KWENDA MORO

Mwili wa Abdul Bonge ukifikishwa nyumbani kutokea Muhimbili tayari kwa kusafirishwa. Meneja wa TMK Wanaume Family na Yamoto Band, Said Fella na Nasib Abdul ‘Diamond’ wakiwaongoza waombolezaji. Msanii wa filamu za Kibongo, William Mtitu, akiwaelekeza jambo waombolezaji.…

 

10 years ago

GPL

MAMIA WAMZIKA ABDUL BONGE KIJIJINI KWAO MKUYUNI, MATOMBO MKOANI MORO

Maziko ya Mwanzilishi na aliyewahi kuwa Meneja wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge yakifanyika leo kijijini kwao Mkuyuni, Matombo mkoani Morogoro. Mwili wa Abdul Bonge ukiombewa kabla ya maziko leo. Wanamuziki mbalimbali wakiwemo Shetta, Diamond Platnumz,…

 

9 years ago

MillardAyo

Madee kamuandikia wimbo huu Marehemu Abdul Bonge kwenye siku yake ya kuzaliwa.

Ilikua ni Jumamosi ya March 28 2015 ambapo zilianza kusambaa taarifa za kifo cha Miongoni mwa Waanzilishi wa kundi la Tip Top Connection Abdul Bonge,kifo ambacho inasemekana kilisababishwa na ugomvi ambao Marehemu Abdul Bonge alienda kuamulia kwa bahati mbaya akasukumwa akadondoka na kufariki. Madee kaamua kuingia studio na kurekodi wimbo huu kwa ajili ya kumbukumbu […]

The post Madee kamuandikia wimbo huu Marehemu Abdul Bonge kwenye siku yake ya kuzaliwa. appeared first on...

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND THE PLATNUMZ NA ZARI WAHUDHURIA KWENYE MSIBA WA ABDUL BONGE JIJINI MOROGORO MKUYUNI


Diamond Platinum akiwa kweny mazishi ya Abdu Bonge Mkoani Morogoro leo.Diamond Platinum Ameongozana na Mpenzi wake Zari the Big boss kwenye Mazishi ya Aliyekuwa Mwanzilishi wa Kundi la Tip top Marehemu Abdul Bonge Aliyefariki Majuzi na Mwili wake kusafirishwa kwenda Morogoro Tayari kwa Mazishi yanayofanyika Mkuyuni Mkoani Morogoro.haya kama utakuwa unaufahamu na kumbukumbu nzuri kumekuwa na tuhuma za kuskika yakuwa diamond the platnumz huwa hana kawaida ya kuhudhuria kwenye misiba ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani