Kajala Asema Yupo Tayari Kugharamia Harusi ya Wolper na Manaiki
UBUYU: Mrembo na mwigizaji anayefanya vizuri kunako soko la filamu za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’ ameweka wazi kuwa yuko tayari kugharamia sherehe ya harusi ya Manaiki Sanga na Jacqueline Wolper Massawe kama mambo yataenda sawa.
Akizungumzia swala la mwigizaji na rafiki yake Jackline Wolper kuchumbiwa na msanii Manaiki Sanga,Kajala alisema kutokana na ukaribu alionao kwa watu hao basi mambo yote yanayohusiana na sherehe yatakuwa chini yake kwa maana ya gharama zote na kikubwa ni kuwaombea...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-zNXr_3Q7MCk/VL9XGfZd6WI/AAAAAAAAm4o/_wyVOV8w0gY/s72-c/8.jpg)
Kajala Asema Yupo Tayari Kugharamia Harusi ya Wolper na Manaiki
![](http://4.bp.blogspot.com/-zNXr_3Q7MCk/VL9XGfZd6WI/AAAAAAAAm4o/_wyVOV8w0gY/s640/8.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-fY0YE5sttPI/VL9XcUyHenI/AAAAAAAAm4w/tRsL3Lsjf68/s640/wolper%2Bna%2Bmanaiki%2Bsanga.jpg)
9 years ago
Bongo530 Oct
Z Anto asema yupo tayari kufanya kazi chini ya Tip Top Connection tena
![Z Anto na Babu Tale](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/10/Z-Anto-na-Babu-Tale-94x94.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JKksqYJJ9Yis6-MiGx1S5PLeTZuR9Yuwc71w2xgWaIyHKX*pljHQKPUIlJupV9Cmd7mHFZ5FhoTcl6aZ4wjZZNiytTl2g1r*/HAPPINESSMAGESE2.jpg?width=720)
MILLEN HAPPINESS MAGESE: ASIMULIA AMBAVYO HAWEZI KUBEBA UJAUZITO, ASEMA YUPO TAYARI KUASILI
10 years ago
Bongo Movies05 Jan
Manaiki Kumposa Wolper!!!
Mwigizaji wa sinema za Kibonho, Manaiki Sanga ametangaza nia ya kutaka kwenda kupeleka posa kwa staa wa sinema, Jacqueline Wolper, kwa madai kuwa anampenda sana.
Akizungumza na mwandishi wa GPL, Manaiki alisema hapa Bongo wanaume wengi hawajui wanawake wazuri lakini kwa upande wake ameona uzuri wa Wolper ni pambo la moyo wake, atapeleka barua nyumbani kwao.
“Ni maoni yangu, mwaka huu mwanzoni napeleka posa kwa wazazi wa Wolper naamini ndiye mwanamke ambaye anafaa kuwa mke wangu labda tu...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f5QbJIEIZ4zquq6ya86CW-lc3txy2ENRC4woiHb31mIuZty3k-s7LYjFte7imLkEmlta3StuZl7nRHnG3lIyf01ElID7DlW5/Wolper.jpg)
WAZAZI WA MANAIKI WAMTOLEA NJE WOLPER
10 years ago
Bongo Movies24 Feb
Manaiki: Sijakata Tamaa Kumuoa Wolper
Mwigizaji wa filamu mwenye mikasa ya aina yake, Manaiki Sanga ‘The Don’ amesema kuwa hajakata tamaa kumuoa msanii mwenzake, Jacqueline Wolper na kwamba bado anaendelea kuwashawishi wazazi wake.
Akiongea na Gazeti la Uwazi, Manaiki aliweka wazi kuwa bado anawashawishi wazazi wake wakubaliane na uchaguzi wake kwakuwa ndiye mtu anayempenda.
“Ni upande mmoja tu wa ndugu zangu ambao wapo kijijini Mbeya na hawamfahamu Walper ila sijakata tamaa na naamini watanielewa tu kwa maaana ndoto yangu...
10 years ago
Bongo Movies29 Jan
Wazazi wa Manaiki Wamtolea Nje Wolper
Msanii wa filamu hapa Bongo, Manaiki Sanga,amesema kuwa yuko katika wakati mgumu sana kwa sababu wazazi wake wamemtolee nje ishu ya kwenda kumposa mrembo na mwigizaji, Jacqueline Wolper.
Akizungumza kwa masikitiko, Manaiki alisema kuwa hivi karibuni alifunga safari na kwenda kijijini kwao Mbeya kwa ajili ya kuwaeleza wazazi wake nia yake ya kumuoa Wolper lakini imekuwa tofauti kwani wamemwambia kama anataka kuoa msichana atatoka nyumbani kwao.
“Yaani nimeamini kabisa mbio za sakafuni...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RjUGj58MiaGKbfRJ4CFwKQBC8nITM6h-XQ8ETwJdKpKHIVlmi00wxenFQMHNRvFCBwtjhAvR7ClCtbJtG60uJFNfmw-eG-y6/maneki.jpg)
MANAIKI: NATAKA KUPELEKA POSA KWA WOLPER
10 years ago
Bongo Movies01 Feb
Picha: Baada ya Wolper kuzingua, Manaiki Arusha Ndoano kwa Uwoya?!!!..
Baada ya ishu yake yakutaka kumposa Wolper kugonga mwamba hii ni kwa mujibu wa magazeti ya udaku hapa bongo, mwigizaji machachali Manaiki Sanga ‘The Don’ usiku wa jana alitupia picha mtandaoni akiwa na mwanadada Irene Uwoya (Hiyo hapo juu) na kuwa “tag” mastaa kibao wa filamu wa hapa Bongo.
Hali hii ilisababisha watu wengi kuhoji kama Manaiki ameamua kumchumbia Irene baada ya Wolper kuzingua au nini?, maswali hayo hayakupata majibu lakini wapo baadhi walidai kuwa Manaiki kwasasa ana...