Mwema ajisalimisha uraiani
ALIYEKUWA Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Said Mwema, amewataka Watanzania wampokee vizuri anapoingia uraiani baada ya kumaliza muda wake wa utumishi. Utawala wa Mwema ulitiwa doa na matukio...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi04 Oct
KATIBA: Mtifuano wahamia uraiani
10 years ago
Mwananchi11 Dec
Wafungwa wanaosamehewa wanarudije uraiani?
9 years ago
Mwananchi04 Dec
Golota kuona Kombe la Dunia 2018 uraiani
10 years ago
Habarileo22 Dec
Kikwete aongeza kasi kuondoa askari uraiani
RAIS Jakaya Kikwete ameahidi kuongeza idadi ya nyumba mpya zinazojengwa kwa ajili ya wanajeshi nchini kutoka 10,000 za sasa hadi 20,000 kabla ya kuondoka madarakani mwaka ujao.
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
DC Gambo ajisalimisha
HATIMAYE Mkuu wa Wilaya (DC), wa Korogwe mkoani Tanga, Mrisho Gambo, amejisalimisha kwenye Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dar es Salaam baada ya kutolewa amri...
9 years ago
Global Publishers07 Jan
Nay ajisalimisha TRA
Mbongo Fleva Emmanuel Eribaliki ‘Nay wa Mitego’.
MUSA MATEJA
KUFUATIA kasi ya utumbuaji majipu wa Rais DK. John Pombe Magufuli kuendelea kutia hofu kwa wenye mali, Mbongo Fleva Emmanuel Eribaliki ‘Nay wa Mitego’, juzikati alijikuta akijisalimisha kwa kuanika baadhi ya mali zake halali, hasa magari na kuwaita maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kumkagua muda wowote.
NYUMBANI KWAKE Nay aliyasema hayo Januari 4, mwaka huu nyumbani kwake Kimara ya Korogwe jijini Dar mara baada ya...
11 years ago
Habarileo07 Feb
Mbunge Lema ajisalimisha Polisi
MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema amejisalimisha Polisi jijini hapa, ingawa amesema hawezi kuhojiwa kwa kuwa wakili wake hayupo. Lema alisema hayo leo jijini hapa wakati akitoka Kituo Kikuu cha Polisi .
10 years ago
StarTV30 Dec
Mtuhumiwa ajisalimisha Polisi Geita.
Na Salma Mrisho,
Geita.
Waendesha Pikipiki mjini Geita wameizingira ofisi ya Polisi Mkoa baada ya mtu wanayemtuhumu kuhusika kwenye matukio ya wizi na mauaji ya waendesha bodaboda kukimbilia polisi kujisalimisha.
Waendesha bodaboda hao ambao wamekaa kwa muda nje ya ofisi hiyo wamefikia maamuzi ya kwenda nyumbani kwa mtuhumiwa ili wachome nyumba yake wakidai mtuhumiwa huyo amekuwa akikamatwa na kuachiwa.
Ilikuwa ni majira ya saa tatu asubuhi waendesha wakija mmojammoja nje ya ofisi ya...
10 years ago
Habarileo11 Oct
DC ajisalimisha, asema hawezi kugoma
MKUU wa Wilaya ya Korogwe mkoani Tanga, Mrisho Gambo amejisalimisha kwenye Baraza la Maadili kwa Viongozi wa Umma jana alfajiri jijini Dar es Salaam baada ya Polisi juzi kuamriwa kumkamata. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam mbele ya Baraza la Maadili kwa Watumishi wa Umma, lililokuwa limekaa kusikiliza mashauri mbalimbali ya viongozi wa umma yaliyowasilishwa na Sekretarieti ya Maadili kwa Viongozi wa Umma, Gambo alisema taarifa za mwito huo hakuzipata.