Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATIBA: Mtifuano wahamia uraiani

>Baada ya Bunge la Katiba juzi kufanikiwa kupata theluthi mbili ya wajumbe wa pande zote mbili za Muungano na kupitisha Katiba inayopendekezwa, sasa msuguano kuhusu Katiba unaonekana kuhamia uraiani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

UKAWA ‘wahamia’ Bunge la Katiba

KATIKA hali inayoonekana kama kutaabishwa na wajumbe wa kundi la Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta, jana alichepuka kwa takribani dakika sita...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwema ajisalimisha uraiani

ALIYEKUWA Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Said Mwema, amewataka Watanzania wampokee vizuri anapoingia uraiani baada ya kumaliza muda wake wa utumishi. Utawala wa Mwema ulitiwa doa na matukio...

 

10 years ago

Mwananchi

Wafungwa wanaosamehewa wanarudije uraiani?

Katika moja ya matukio ya makubwa wakati wa sherehe za kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika juzi, Rais Jakaya Kikwete alitoa msamaha kwa wafungwa 887 na kuwapunguzia vifungo wafungwa 4,082 ambao watabaki gerezani wakitumikia muda uliosalia.

 

10 years ago

Mwananchi

Siku 64 za mtifuano

Zikiwa zimesalia siku tisa kuanza kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kuna dalili za wazi kuwa vyama vilivyosimamisha wagombea urais vinakabiliwa na kazi ngumu ya kuwafikia wananchi kutokana na muda mfupi uliopangwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

10 years ago

Vijimambo

AIKU 64 ZA MTIFUANO

Baadhi ya wananchi wa Jimbo la Mtama Mkoani Lindi wakimsikiliza aliyekuwa akiwania kuteuliwa na CCM kuwa mgombea wa Ubunge wa Jimbo hilo, Suleiman Mathew aliyeshindwa katika mchakato wa kura za maoni. Picha na Haika Kimaro.
By Nuzulack Dausen, Mwananchi

Dar es Salaam. Zikiwa zimesalia siku tisa kuanza kwa kampeni za Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kuna dalili za wazi kuwa vyama vilivyosimamisha wagombea urais vinakabiliwa na kazi ngumu ya kuwafikia wananchi kutokana na muda mfupi uliopangwa na Tume...

 

9 years ago

Mwananchi

Golota kuona Kombe la Dunia 2018 uraiani

Mshambuliaji wa zamani wa Simba anayetumikia kifungo cha miaka saba na nusu jela nchini Ethiopia, Joseph Kaniki ‘Golota’, huenda akazitazama fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Russia akiwa uraiani.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete aongeza kasi kuondoa askari uraiani

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete akizungumza na mwanafunzi bora katika kozi ya maofisa wa Jeshi, Luteni Usu Engelbert Kessy muda mfupi baada ya Rais kutunuku kamisheni kwa maofisa wapya 171 wa Jeshi katika Chuo cha Jeshi Monduli, Arusha juzi. (Picha na Freddy Maro).RAIS Jakaya Kikwete ameahidi kuongeza idadi ya nyumba mpya zinazojengwa kwa ajili ya wanajeshi nchini kutoka 10,000 za sasa hadi 20,000 kabla ya kuondoka madarakani mwaka ujao.

 

9 years ago

Habarileo

Mtifuano Ukawa wakolea majimboni

SIKU chache baada ya uongozi wa NLD mkoani Mtwara kudai hautambui mpango wa kuachiana majimbo unaohubiriwa na viongozi wakuu wa umoja wa vyama vinne vya upinzani, hali si shwari katika Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki, baada ya Chadema na CUF, kila kimoja kusimamisha mgombea wake jimboni humo.

 

11 years ago

Mwananchi

Real, Barca, Atletico mtifuano

Bilbao imefunga mabao 15, huku wakishinda mechi 13 kwenye uwanja wao mpya wa San Mames

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani