Nay ajisalimisha TRA
Mbongo Fleva Emmanuel Eribaliki ‘Nay wa Mitego’.
MUSA MATEJA
KUFUATIA kasi ya utumbuaji majipu wa Rais DK. John Pombe Magufuli kuendelea kutia hofu kwa wenye mali, Mbongo Fleva Emmanuel Eribaliki ‘Nay wa Mitego’, juzikati alijikuta akijisalimisha kwa kuanika baadhi ya mali zake halali, hasa magari na kuwaita maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kumkagua muda wowote.
NYUMBANI KWAKE Nay aliyasema hayo Januari 4, mwaka huu nyumbani kwake Kimara ya Korogwe jijini Dar mara baada ya...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo523 Aug
Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya
10 years ago
Bongo530 Aug
Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’
9 years ago
Bongo519 Nov
Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza
![Chagga na Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?
Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.
Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...
10 years ago
GPL29 Aug
10 years ago
Bongo529 Aug
New video: Nay Wa Mitego — Mr Nay
10 years ago
Bongo519 Aug
Video: Tazama teaser ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘ Mr Nay’ iliyofanyika Kenya
10 years ago
Tanzania Daima11 Oct
DC Gambo ajisalimisha
HATIMAYE Mkuu wa Wilaya (DC), wa Korogwe mkoani Tanga, Mrisho Gambo, amejisalimisha kwenye Baraza la Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma jijini Dar es Salaam baada ya kutolewa amri...
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Mwema ajisalimisha uraiani
ALIYEKUWA Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP), Said Mwema, amewataka Watanzania wampokee vizuri anapoingia uraiani baada ya kumaliza muda wake wa utumishi. Utawala wa Mwema ulitiwa doa na matukio...
10 years ago
StarTV30 Dec
Mtuhumiwa ajisalimisha Polisi Geita.
Na Salma Mrisho,
Geita.
Waendesha Pikipiki mjini Geita wameizingira ofisi ya Polisi Mkoa baada ya mtu wanayemtuhumu kuhusika kwenye matukio ya wizi na mauaji ya waendesha bodaboda kukimbilia polisi kujisalimisha.
Waendesha bodaboda hao ambao wamekaa kwa muda nje ya ofisi hiyo wamefikia maamuzi ya kwenda nyumbani kwa mtuhumiwa ili wachome nyumba yake wakidai mtuhumiwa huyo amekuwa akikamatwa na kuachiwa.
Ilikuwa ni majira ya saa tatu asubuhi waendesha wakija mmojammoja nje ya ofisi ya...