Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZITTO AMTAKA WAZIRI NYALANDU KUJIUZULU AKISHINDWA KUTOA TANGAZO GAZETINI LEO JIONI

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe. MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ifikapo leo jioni awe ametoa tangazo katika gazeti la serikali ili kuruhusu tozo mpya za mahoteli kwenye hifadhi la sivyo ajiuzulu cheo chake. Sehemu ya ripoti inayoonyesha serikali inavyopoteza fedha nyingi kwa kukosa malipo ya tozo. Zitto ameyasema hayo leo wakati akichangia kwenye… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kofi Annan amtaka Nkurunziza kujiuzulu

Aliyekuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa Koffi Annan amemtaka rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kujiuzulu

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII PFOF. JUMANNE MAGHEMBE AKABIDHIWA RASMI OFISI LEO NA ALIYEKUWA WAZIRI WA WIZARA HIYO LAZARO NYALANDU

Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Prof. Jumanne Maghembe (wa pili kushoto) akikabidhiwa taarifa ya makabidhiano ya ofisi na aliyekuwa Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Lazaro Nyalandu (wa pili kulia) leo tarehe 29 Desemba 2015 ofisini kwake Mpingo House. Wanaoshuhudia makabidhiano hayo ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Adelhelm Meru (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Ndugu Selestine Gesimba (kulia).Aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini Mhe. Lazaro...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI NYALANDU APOKEA NDEGE MPYA LEO

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Lazaro, Nyalandu leo amepokea ndege aina ya Micro Light Nyinja 5H-HEL, kutoka kwa kampuni inayojihusisha na masuala ya utalii ya Tanganyika Wildlife Safari itakayosaidia harakati za kukomesha masuala ya uuaji wanyama pori na ujangili.
Akipokea ndege hiyo jijini Dar es Salaam,Waziri Nyalandu alisema ndege hiyo ni mpya kabisa na ya usalama wa hali ya juu kutokana na muunekano wake kuwa wakisasa zaidi.
"Hii ndege ni salama zaidi kwasababu yenyewe imejengwa na...

 

11 years ago

Michuzi

Waziri wa fedha Mhe.Saada Mkuya Kujibu Hoja za Wabunge jioni ya Leo

   Naibu Waziri wa Fedha Mhe.Mwingulu Nchemba kulia akijadiliana na Maofisa wa Wizara ya Fedha,wakati wakitoka kwenye Ukumbi wa Msekwa walikokuwa na kikao cha kuandaa majibu ya Hoja za Wabunge kwa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2014-2015.Baada ya mjadala uliochukuwa takribani wiki nzima.Bajeti ya Serikali Ilisomwa na waziri wa Fedha Alhamisi iliyo[pita na Waziri wa Fedha Mhe.Saada Mkuya nakufuatiwa na uchangiwaji na mjadala kwa kuchangiwa na Wabunge mbalambali.   Waziri wa Fedha...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI NYALANDU AZINDUA KAMPENI MPYA YA KUWAHAMASISHA WATANZANIA KUTEMBELEA HIFADHI ZA TAIFA JIJINI MWANZA LEO

 Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akiwa amekata utepe kuashiria uzinduzi wa usafiri wa boti (Majini) katika suala zima la kurahisisha  kuhamasisha kampeni ya Uhamasishaji Watanzania Kutembelea Hifadhi za Taifa,hafla hiyo imefanyika mapema leo asubuhi ndani ya Yatch Club,jijini Mwanza,kulia ni  Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Allan Kijazi   Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akiwa amekata utepe kuashiria uzinduzi wa usafiri wa magari (nchi kavu)...

 

10 years ago

GPL

MARA BAADA YA MUHONGO KUJIUZULU NA JK KUTEUA WAPYA, ZITTO ATOA YA MAYONI!

Hiki ndicho alichokiandika Mhe. Zitto Kabwe kwenye ukurasa wake wa Face Book mara baada ya Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter muhongo kutangaza kujiuzulu mapema leo. Na hiki ndicho alichokiandika mara baada ya uteuzi wa Mawaziri na manaibu Mawaziri…

 

10 years ago

Michuzi

ZITTO ; FILIKUNJOMBE NI MCHAPAKAZI MZURI, CHIKU AMTAKA MBUNGE MSIGWA AONYESHE ALICHOFANYA JIMBONI

Ziito Kabwe  akiwa na mume  wa Chiku Abwao na Chiku Abwao  na kada wa ACT wazalendo. Zitto kabwe  akiwa na wapambanaji Zitto kabwe  akiwahutubia  wananchi wa jimbo la Iringa mjini Chiku  Abwao  akiwahutubia wananchi wa jimbo la Iringa mjini Mgombe  udiwani wa kata ya Mvinjeni Abuu Majeck akimpongeza mgombea  ubunge jimbo la Iri nga mjini Chiku Abwa.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani