Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kofi Annan amtaka Nkurunziza kujiuzulu

Aliyekuwa katibu mkuu wa umoja wa mataifa Koffi Annan amemtaka rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kujiuzulu

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kofi Annan atua Cuba kutatua migogoro

Katibu mkuu wa zamani wa umoja wa mataifa Kofi Annan amewasili nchini Cuba kuhamasisha mazungumzo ya amani.

 

11 years ago

Michuzi

MZIGO MZITO ULIOMSHINDA KOFI ANNAN WAMSHINDA BRAHIMI

Na Mwandishi Maalum   Ban Ki Moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, kwa masikitiko makubwa ametangaza kukubali kwake kujiuzuru kwa mwakilishi maalum wa Umoja wa mataifa  na Muungano wa nchi za Kiarabu, Lakhdar Brahimi aliyekuwa akisimamia mazungumzo ya kutafuta Amani nchini Syria. Akitangaza mbele ya waandishi wa habari kuhusu kujiuzulu kwa Bw. Brahimi ambaye pia alikuwapo kwenye mkutano huo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amesema mwanadiplomasia huyo mzoefu ataachia wadhifa wake...

 

11 years ago

Michuzi

Uporaji wa sekta za mbao na uvuvi unaizuia Afrika isiendelee - Kofi Annan

ABUJA, Nigeria, May 8, 2014/ -- Rasilimali za Afrika zenye utajiri mwingi zinatoa nafasi ya kipekee ya ufanisi katika uimarishaji wa maisha ya raia wa Afrika, yasema ripoti mpya kubwa iliyozinduliwa leo na Kofi Annan, Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, lakini mara nyingi sana rasilimali hizi huporwa na maafisa wafisadi pamoja na wawekezaji wa kigeni. Aidha, Ripoti hii inaonyesha kwamba kuongezeka kwa ukosefu wa usawa vilevile kunaizuia Afrika isiikamate nafasi hii ya...

 

11 years ago

Dewji Blog

Uporaji wa sekta za mbao na uvuvi unaizuia Afrika isiendelee — Kofi Annan

kofi-annan

Kofi Annan, Chair of the Africa Progress Panel.

Ripoti ya Jopo la Maendeleo ya Afrika ya mwaka huu inawahimiza viongozi wa Afrika kupambana na ukosefu wa usawa na kuitaka jamii ya ulimwengu kukabiliana na uporaji wa rasilimali za bara hili.

Rasilimali za Afrika zenye utajiri mwingi zinatoa nafasi ya kipekee ya ufanisi katika uimarishaji wa maisha ya raia wa Afrika, yasema ripoti mpya kubwa iliyozinduliwa leo na Kofi Annan, Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, lakini mara nyingi sana...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kofi Annan and other Panel Members to launch 2014 Africa Progress Report — Grain, Fish, Money

app

The Africa Progress Panel will release its annual Africa Progress Report at the World Economic Forum on Africa held in Abuja, Nigeria

On Thursday, May 8th 2014, the Africa Progress Panel (http://www.africaprogresspanel.org) will release its annual Africa Progress Report – Grain, Fish, Money – Financing Africa’s Green and Blue revolutions, at the World Economic Forum on Africa held in Abuja, Nigeria.

Chaired by former UN Secretary-General, Kofi Annan, last year’s report Equity in...

 

10 years ago

GPL

ZITTO AMTAKA WAZIRI NYALANDU KUJIUZULU AKISHINDWA KUTOA TANGAZO GAZETINI LEO JIONI

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe. MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amemtaka Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu ifikapo leo jioni awe ametoa tangazo katika gazeti la serikali ili kuruhusu tozo mpya za mahoteli kwenye hifadhi la sivyo ajiuzulu cheo chake. Sehemu ya ripoti inayoonyesha serikali inavyopoteza fedha nyingi kwa kukosa malipo ya tozo. Zitto ameyasema hayo leo wakati akichangia kwenye… ...

 

5 years ago

BBCSwahili

Pierre Nkurunziza: Nani anaiongoza Burundi baada ya kifo cha Nkurunziza?

Zaidi ya saa 48 baada ya kifo cha ghafla cha rais wa Burundi Pierre Nkurunziza kumekuwa na sintofahamu kuhusu ni nani atakayechukuwa hatamu ya uongozi.

 

11 years ago

BBC

Ghana mourns fashion guru Kofi Ansah

Ghana mourns a designer who took Africa to haute couture

 

10 years ago

TheCitizen

ANNAN: Nine steps to food security in Africa

>Leaders meeting in Davos this week are confronted with some critical challenges. One of them is how to realize the bright prospects of African agriculture.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani