MZIGO MZITO ULIOMSHINDA KOFI ANNAN WAMSHINDA BRAHIMI
![](http://1.bp.blogspot.com/-E0bjGpcTv_E/U3Lrt7p1sDI/AAAAAAAFhe8/NsZ6q3Etiqw/s72-c/588324.jpg)
Na Mwandishi Maalum Ban Ki Moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, kwa masikitiko makubwa ametangaza kukubali kwake kujiuzuru kwa mwakilishi maalum wa Umoja wa mataifa na Muungano wa nchi za Kiarabu, Lakhdar Brahimi aliyekuwa akisimamia mazungumzo ya kutafuta Amani nchini Syria. Akitangaza mbele ya waandishi wa habari kuhusu kujiuzulu kwa Bw. Brahimi ambaye pia alikuwapo kwenye mkutano huo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amesema mwanadiplomasia huyo mzoefu ataachia wadhifa wake...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili04 Jun
Kofi Annan amtaka Nkurunziza kujiuzulu
10 years ago
BBCSwahili27 Feb
Kofi Annan atua Cuba kutatua migogoro
11 years ago
Dewji Blog09 May
Uporaji wa sekta za mbao na uvuvi unaizuia Afrika isiendelee — Kofi Annan
Kofi Annan, Chair of the Africa Progress Panel.
Ripoti ya Jopo la Maendeleo ya Afrika ya mwaka huu inawahimiza viongozi wa Afrika kupambana na ukosefu wa usawa na kuitaka jamii ya ulimwengu kukabiliana na uporaji wa rasilimali za bara hili.
Rasilimali za Afrika zenye utajiri mwingi zinatoa nafasi ya kipekee ya ufanisi katika uimarishaji wa maisha ya raia wa Afrika, yasema ripoti mpya kubwa iliyozinduliwa leo na Kofi Annan, Katibu Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, lakini mara nyingi sana...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-VEzhfE3ubAE/U2sroXZcA_I/AAAAAAAAjas/0Q8BoUKVqyA/s72-c/Kofi+Annan.jpg)
Uporaji wa sekta za mbao na uvuvi unaizuia Afrika isiendelee - Kofi Annan
![](http://1.bp.blogspot.com/-VEzhfE3ubAE/U2sroXZcA_I/AAAAAAAAjas/0Q8BoUKVqyA/s1600/Kofi+Annan.jpg)
11 years ago
Dewji Blog30 Apr
Kofi Annan and other Panel Members to launch 2014 Africa Progress Report — Grain, Fish, Money
The Africa Progress Panel will release its annual Africa Progress Report at the World Economic Forum on Africa held in Abuja, Nigeria
On Thursday, May 8th 2014, the Africa Progress Panel (http://www.africaprogresspanel.org) will release its annual Africa Progress Report – Grain, Fish, Money – Financing Africa’s Green and Blue revolutions, at the World Economic Forum on Africa held in Abuja, Nigeria.
Chaired by former UN Secretary-General, Kofi Annan, last year’s report Equity in...
10 years ago
Mwananchi03 Nov
Evans Aveva abebeshwa mzigo mzito
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Profesa Mahalu: Nimetua mzigo mzito
10 years ago
Michuzi28 Jul
“KAMATI YA ULINZI YA COASTAL UNION YATISHWA MZIGO MZITO”
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/193.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/284.jpg)
![3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/372.jpg)
UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union umeitaka kamati ya ulinzi na usalama kuhakikisha inatimiza wajibu wake ipasavyo ikiwemo kuhakikisha vitendo...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Q7T2q86GkzXsyRubvmFfytfC72CQqYzpWhhoV36nes1EtOG0xQUOgX8RcrUyBAk561keAZqPERHN6Tw-BI1g6g0QYgjgV9lR/ray.jpg)
MSOSI WA KIGENI WAMSHINDA RAY