Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


“KAMATI YA ULINZI YA COASTAL UNION YATISHWA MZIGO MZITO”

1Mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union,Dr.Ahmed Twaha katikati akifuatilia mkutano wake na kamati ndogo ndogo za klabu hiyo uliofanyika jana,kulia ni Katibu Mkuu wa Coastal Union,Kassim El Siagi, 2 3Mwenyekiti wa Cpastal Union akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Mipango na Fedha mara baada ya kumalizika kikao hicho.………………………………………………………………………….
UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union umeitaka kamati ya ulinzi na usalama kuhakikisha inatimiza wajibu wake ipasavyo ikiwemo kuhakikisha vitendo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

KAMATI YA UTENDAJI YA COASTAL UNION,SASA YATOKA NA MAAMUZI MAZITO”




KIKAO cha Kamati ya Utendaji ya Klabu ya Coastal Union kilichoketi juzi kwa saa tatu kilitoka na mapendekezo wa kuachana na aliyekuwa Kocha Mkuu wa timu hiyo,Jackson Mayanja kutokana na kutokuwepo kwa mwenendo wa matokeo mazuri kwa timu hiyo tokea alipokabidhiwa. 
Kocha Mayanja alikabidhiwa kikosi hicho cha Wagosi wa Kaya baada ya kumalizika msimu wa ligi kuu uliopita akichukua mikoba ya Jamhuri Kihwelu “Julio” ambaye aliinusuru timu hiyo na kushuka daraja ikimaliza ikiwa nafasi tano za juu...

 

10 years ago

Mwananchi

Evans Aveva abebeshwa mzigo mzito

Baada ya kuendelea na matokeo ya sare katika mechi ya raundi ya sita ya Ligi Kuu, wachezaji wa Simba wamechoshwa na sare hizo hivyo kumtaka rais wao Evans Aveva kumaliza matatizo yaliyopo ndani ya klabu hiyo wakidai ndiyo yanayowaumiza.

 

11 years ago

Mwananchi

Profesa Mahalu: Nimetua mzigo mzito

>Huwezi kuzungumzia mafanikio ya Bunge Maalumu la Katiba bila kumtaja aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kupitia Kanuni za Uendeshaji wake, Profesa Costa Mahalu.

 

11 years ago

Michuzi

MZIGO MZITO ULIOMSHINDA KOFI ANNAN WAMSHINDA BRAHIMI

Na Mwandishi Maalum   Ban Ki Moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, kwa masikitiko makubwa ametangaza kukubali kwake kujiuzuru kwa mwakilishi maalum wa Umoja wa mataifa  na Muungano wa nchi za Kiarabu, Lakhdar Brahimi aliyekuwa akisimamia mazungumzo ya kutafuta Amani nchini Syria. Akitangaza mbele ya waandishi wa habari kuhusu kujiuzulu kwa Bw. Brahimi ambaye pia alikuwapo kwenye mkutano huo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amesema mwanadiplomasia huyo mzoefu ataachia wadhifa wake...

 

9 years ago

Global Publishers

Kova kuweka ulinzi mzito mkesha wa mwaka mpya

 

 

 

 

 

4c36Suleiman-KovaKamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam, Suleiman Kova.

1

2 3

 

9 years ago

Habarileo

Coastal Union yazama 1-0

TIMU ya soka ya Coastal Union ya Tanga jana imeshindwa kuutumia vyema uwanja wake wa Mkwakwani baada ya kufungwa bao 1-0 na Ruvu Shooting ya Pwani katika mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Tanzania Bara Septemba 12, mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Coastal Union ipo imara

Klabu ya Coastal Union imesema haitatetereka kama inavyodaiwa na baadhi ya wasiopenda maendeleo yake kwa kuwa ni kongwe na yenye mipango endelevu.

 

10 years ago

TheCitizen

Cannavaro aizamisha Coastal Union

Bao la nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’ limetosha kuiweka Yanga kileleni mwa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya kwanza mwaka huu wakichapa Coastal Union 1-0 kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

 

10 years ago

Mwananchi

Coastal Union yamfungia Banda

Klabu ya Coastal Union ya Tanga imemfungia beki Abdi Bamba kucheza soka ndani na nje ya nchi kwa mwaka mmoja baada ya kutangazwa kusaini mkataba wa kuichezea Simba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani