Evans Aveva abebeshwa mzigo mzito
Baada ya kuendelea na matokeo ya sare katika mechi ya raundi ya sita ya Ligi Kuu, wachezaji wa Simba wamechoshwa na sare hizo hivyo kumtaka rais wao Evans Aveva kumaliza matatizo yaliyopo ndani ya klabu hiyo wakidai ndiyo yanayowaumiza.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLEVANS ELIEZA AVEVA: NILISUBIRI NIKUELEZE KUHUSU KITI
Rais wa Simba SC, Evans Elieza Aveva. ASIYEPENDA kusikiliza maoni ya watu, akaamini anajua kuliko mtu yeyote, mara nyingi huishia kufeli, kuna mifano ya watu wengi sana. Lakini katika kusikiliza, si lazima kila unaloambiwa ulifanyie kazi, kwa kuwa kuna maoni ambayo yanaweza kuwa si sahihi, ukisikiliza kila uliloambiwa na kuliamini, pia unaweza kufeli. Ndiyo maana Wanasimba wakamuamini Evans Elieza Aveva na kumpa urais kwa kuwa...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-HDJok3gfLcM/U66c3luh-2I/AAAAAAAB93w/y0_iMNQrwGk/s72-c/1.jpg)
EVANS AVEVA AMALIZA KAMPENI ZA URAIS SIMBA KWA KISHINDO
![](http://3.bp.blogspot.com/-HDJok3gfLcM/U66c3luh-2I/AAAAAAAB93w/y0_iMNQrwGk/s1600/1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-4ewx87nFQpg/U66c8EoNAgI/AAAAAAAB934/z0lfrt7giqM/s1600/2.jpg)
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Profesa Mahalu: Nimetua mzigo mzito
>Huwezi kuzungumzia mafanikio ya Bunge Maalumu la Katiba bila kumtaja aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Kupitia Kanuni za Uendeshaji wake, Profesa Costa Mahalu.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-E0bjGpcTv_E/U3Lrt7p1sDI/AAAAAAAFhe8/NsZ6q3Etiqw/s72-c/588324.jpg)
MZIGO MZITO ULIOMSHINDA KOFI ANNAN WAMSHINDA BRAHIMI
Na Mwandishi Maalum
Ban Ki Moon, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, kwa masikitiko makubwa ametangaza kukubali kwake kujiuzuru kwa mwakilishi maalum wa Umoja wa mataifa
na Muungano wa nchi za Kiarabu, Lakhdar Brahimi aliyekuwa akisimamia mazungumzo ya kutafuta Amani nchini Syria. Akitangaza mbele ya waandishi wa habari kuhusu kujiuzulu kwa Bw. Brahimi ambaye pia alikuwapo kwenye mkutano huo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, amesema mwanadiplomasia huyo mzoefu ataachia wadhifa wake...
10 years ago
Michuzi28 Jul
“KAMATI YA ULINZI YA COASTAL UNION YATISHWA MZIGO MZITO”
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/193.jpg)
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/284.jpg)
![3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/372.jpg)
UONGOZI wa Klabu ya Coastal Union umeitaka kamati ya ulinzi na usalama kuhakikisha inatimiza wajibu wake ipasavyo ikiwemo kuhakikisha vitendo...
11 years ago
Mwananchi15 Dec
Kikwete abebeshwa zigo la mawaziri dhaifu
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtupia mpira Rais Jakaya Kikwete wa kuamua hatima ya mawaziri saba, wanaotuhumiwa kushindwa kutekeleza majukumu yao.
9 years ago
Mwananchi06 Oct
Kerr abebeshwa zigo la Pape Ndaw Simba
Uongozi wa klabu ya Simba umesema kuendelea kuwapo kwa mshambuliaji, Pape Abdoulaye Ndaw kwenye kikosi chao au kutemwa wakati wa dirisha dogo kutaamuliwa na kocha, Dylan Kerr na siyo vinginevyo.
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-sePHT-Eu2jI/VKq1THSpipI/AAAAAAAAaJ0/pllBMBgQOLA/s72-c/D.png)
PESA NOMA HATIMAYE DIAMOND AGEUZWA BUSHOKE NA ZARI...ABEBESHWA POCHI HUKU BAUNSA WAKE AKIMCHEKA
![](http://4.bp.blogspot.com/-sePHT-Eu2jI/VKq1THSpipI/AAAAAAAAaJ0/pllBMBgQOLA/s640/D.png)
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/81611000/jpg/_81611286_cisse.jpg)
Evans' spitting disgusting - FA
Manchester United defender Jonny Evans spitting at Newcastle's Papiss Cisse was "simply disgusting", says an FA panel.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania