Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete abebeshwa zigo la mawaziri dhaifu

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtupia mpira Rais Jakaya Kikwete wa kuamua hatima ya mawaziri saba, wanaotuhumiwa kushindwa kutekeleza majukumu yao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kerr abebeshwa zigo la Pape Ndaw Simba

Uongozi wa klabu ya Simba umesema  kuendelea kuwapo kwa mshambuliaji, Pape Abdoulaye Ndaw kwenye kikosi chao au kutemwa wakati wa dirisha dogo kutaamuliwa na kocha, Dylan Kerr na siyo vinginevyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Zigo la Z’bar ni la Magufuli au Kikwete

Wakati majadiliano ya kina yanaendelea visiwani ili kufikia mwafaka wa kuendelea na mchakato wa kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu Zanzibar uliofanyika Oktoba 25 au kurudiwa upya, imeelezwa kuwa suala hilo linaweza kupata ufumbuzi iwapo litashughulikiwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa, Jakaya Kikwete au Rais wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli. Kikwete ametupiwa zigo hilo kwa sababu ya wadhifa wake wa uenyekiti wa c

 

9 years ago

Vijimambo

Ahadi 5 za Kikwete zigo kwa rais ajaye.


Rais Jakaya Kikwete.
Wakati zikiwa zimebaki siku 22 kuanzia leo kabla ya uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25, imebainika kuwa Rais ajaye atakuwa na mzigo mzito wa kutekeleza ahadi kadhaa zilizowahi kutolewa na serikali ya Rais Jakaya Kikwete anayetarajiwa kumaliza muda wake baada ya uchaguzi huo utakaompata mrithi wake.Uchunguzi uliofanywa na Nipashe umebaini kuwa, licha ya mafanikio makubwa katika sekta mbalimbali katika kipindi cha miaka 10 ya serikali iliyopo madarakani, bado kuna ahadi...

 

10 years ago

Mwananchi

Evans Aveva abebeshwa mzigo mzito

Baada ya kuendelea na matokeo ya sare katika mechi ya raundi ya sita ya Ligi Kuu, wachezaji wa Simba wamechoshwa na sare hizo hivyo kumtaka rais wao Evans Aveva kumaliza matatizo yaliyopo ndani ya klabu hiyo wakidai ndiyo yanayowaumiza.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete abadili mawaziri

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete, amefanya mabadiliko muhimu katika Baraza la Mawaziri, kuziba pengo lililoachwa na mawaziri wawili, kutokana na kashfa ya utoaji wa fedha katika iliyokuwa Akaunti ya Tegeta Escrow iliyokuwa Benki Kuu (BoT).

 

11 years ago

Habarileo

Mawaziri kujieleza kwa Kikwete

IKIWA ni takribani mwaka mmoja sasa tangu Serikali ilipoamua kuanza kutekeleza Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), hatimaye mawaziri wanaotekeleza Mpango huo watawekwa `kikaangoni’ Julai mwaka huu.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kikwete afukuza mawaziri wanne TZ

Mawaziri wanne wa Tanzania wamefukuzwa kazi na rais wa nchi hiyo Jakaya Kikiwete baada ya kutengua uteuzi wao.

 

10 years ago

Dewji Blog

Kikwete abadilisha baraza lake la mawaziri

 

unnamed (2)

Moja wa Sura mpya katika baraza jipya la Mawaziri Naibu Waziri wa Elimu Anne Kilanngo Malecela akila kiapo Mbele ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo. 

WAZIRI LEO0

Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi Ombeni Sefue akizungumza na vyombo vya habari jioni hii wakati akitangaza mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri, Ikulu,  Jijini Dar es Salaam leo.

unnamed (1)

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mawaziri na manaibu waziri aliowaapisha ikulu jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

GPL

TOFAUTI YA MAWAZIRI WA KIKWETE NA WALE WA NYERERE!

Chama legelege huzaa serikali legelege! Haya ni maneno ya Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipokuwa akizungumzia aina ya mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) anayefaa kuingia ikulu.  Kwamba asiwe mtu wa kutafuta uongozi kwa njia ya rushwa ili kujenga serikali imara. Tukirudi nyuma, ni falsafa hiyohiyo aliyoitumia Mwalimu Nyerere wakati akiunda serikali yake baada ya kupata uhuru wa Tanganyika Desemba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani