Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kerr abebeshwa zigo la Pape Ndaw Simba

Uongozi wa klabu ya Simba umesema  kuendelea kuwapo kwa mshambuliaji, Pape Abdoulaye Ndaw kwenye kikosi chao au kutemwa wakati wa dirisha dogo kutaamuliwa na kocha, Dylan Kerr na siyo vinginevyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kikwete abebeshwa zigo la mawaziri dhaifu

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemtupia mpira Rais Jakaya Kikwete wa kuamua hatima ya mawaziri saba, wanaotuhumiwa kushindwa kutekeleza majukumu yao.

 

9 years ago

Mtanzania

Kerr atupia zigo la lawama nyota wake

kerrNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM

KOCHA mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr, amewatupia lawama nyota wake kuwa ndio chanzo cha mwenendo mbaya wa klabu hiyo katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara.

Kauli ya Kerr imekuja siku chache baada ya tetesi za kutumuliwa kwake kuzidi kushika kasi, kutokana na matokeo yasiyoridhisha ambayo yamekuwa yakiiandama timu hiyo katika siku za karibuni.

Simba inashika nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu, ikiwa na jumla ya pointi 24, hadi sasa imefanikiwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Simba yaangukia kwa Pape

Simba imemsainisha mkataba wa mwaka mmoja mshambuliaji Msenegali Pape Aboulaye N’Daw na kukamilisha idadi ya wachezaji saba wa kigeni wa klabu hiyo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Simba SC yaitwisha TFF zigo la Abdi Banda

KLABU ya Simba imesema inasubiri maamuzi yatakayotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), juu ya usajili wa beki wao Abdi Banda aliyesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili. Banda aliyesajiliwa Simba...

 

9 years ago

Habarileo

Wachezaji Simba wamtibua Kerr

KOCHA mkuu wa timu ya Simba Dlyan Kerr amesema hajaridhishwa na kiwango kilichooneshwa na wachezaji wake katika mchezo wa michuano ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Jamhuri juzi uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2.

 

9 years ago

Mwananchi

Kessy amshitua Kerr Simba

Kocha wa Simba, Dylan Kerr ameshtushwa na uamuzi wa beki wake Hassan Ramadhani Kessy kugoma kusaini mkataba mpya na timu hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Kerr afichua siri ya Simba

Kocha wa Simba, Dylan Kerr ametaja sababu kadhaa zinazoifanya timu yake ishindwe kupata matokeo mazuri kwenye mechi za Ligi Kuu.

 

9 years ago

Mtanzania

Kerr ataka uvumilivu Simba

kerr kazini simba 34NA MWALI IBRHIM, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Simba, Dylan Kerr, amewataka wachezaji wake kuwa wavumilivu kutokana na aina ya mazoezi watakayofanya watakapokuwa kambini visiwani Zanzibar kwa lengo la kuwaongezea kasi tofauti na ilivyokuwa katika mechi zilizopita.

Ikiwa kambini Simba inatarajia kucheza mechi mbili za kirafiki kujipima nguvu kabla ya kurejea kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Azam FC utakaopigwa Desemba 12,  mwaka huu katika Uwanja wa Uwanja wa Taifa...

 

10 years ago

Mwananchi

Kerr: Hakuna Staa Simba

Kocha wa Simba, Dylan Kerr ametamba kuwa hakuna mchezaji staa ndani ya kikosi chake na hatosita kumweka benchi au kumtimua kabisa mchezaji yeyote ambaye hatofuata kile alichoelekezwa na benchi la ufundi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani