Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba SC yaitwisha TFF zigo la Abdi Banda

KLABU ya Simba imesema inasubiri maamuzi yatakayotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), juu ya usajili wa beki wao Abdi Banda aliyesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili. Banda aliyesajiliwa Simba...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Kerr abebeshwa zigo la Pape Ndaw Simba

Uongozi wa klabu ya Simba umesema  kuendelea kuwapo kwa mshambuliaji, Pape Abdoulaye Ndaw kwenye kikosi chao au kutemwa wakati wa dirisha dogo kutaamuliwa na kocha, Dylan Kerr na siyo vinginevyo.

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yachemsha kwa Messi, Banda, Okwi

Katibu mkuu wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Angetile Osiah amesema vitendo vinavyoendelea kufanywa vya kuvunja mikataba ya wachezaji na kuwatangaza kuwa huru ni hatari kwa maendeleo ya mpira na vinakiuka kanuni za Fifa.

 

10 years ago

Mtanzania

Simba yakiuka agizo la TFF

messi1NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM
UONGOZI wa Klabu ya Simba umekiuka agizo la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuwataka wafanye mazungumzo mapya na mchezaji wao, Ramadhani Singano ‘Messi’, kwa madai kuwa amekwenda kinyume cha makubaliano yao kwa kutoa siri juu ya kilichozungumzwa kwenye kikao hicho.
Maamuzi hayo ya Simba yalitolewa jana kufuatia kikao cha Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo, kilichokaa juzi kujadili masuala mbalimbali ya klabu hiyo, ikiwemo sakata la mchezaji wao huyo.
TFF...

 

10 years ago

Mwananchi

TFF yazitega Yanga, Simba

Ukimya wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kuhusu idadi ya wachezaji wa kigeni umenazidi kuziwaweka mtegoni klabu za Yanga na , Simba.

 

11 years ago

Mwananchi

TFF yamtambua Rage Simba

>Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji TFF, imemtaka mwenyekiti halali wa Simba, Ismail Rage kuitisha Mkutano Mkuu kwa mujibu wa taratibu za klabu hiyo.

 

10 years ago

GPL

TFF yamfungia beki Simba

BEKI wa kushoto wa timu ya Simba (kulia), Abdi Banda. Na Said Ally
BEKI wa kushoto wa timu ya Simba, Abdi Banda, amesema kuwa amefungiwa mechi mbili na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF). Banda alikuwa na utata kwenye usajili wake na Simba huku akidaiwa kuwa alisaini kwenye timu hiyo ya Msimbazi wakati akiwa bado na mkataba na Coastal Union na timu zote zilipeleka jina la mchezaji huyo kwenye usajili wake lakini aliidhinishwa...

 

10 years ago

GPL

TFF wawakutanisha Tambwe, Simba

Straika wa Yanga, Amissi Tambwe. Na Nicodemus Jonas,Dar es Salaam
MALIPO ya straika wa Yanga, Amissi Tambwe ambayo anaidai Simba, yanazidi kupigwa danadana, hiyo ni baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuzitaka pande hizo mbili kukutana na kumalizana. Tambwe anaidai Simba dola 11,000 ambazo ni malipo ya kuvunjwa kwa mkataba wake wakati alipokuwa akiitumikia timu hiyo kabla ya kutua Yanga, Simba pia inadaiwa na Pierre...

 

11 years ago

Mwananchi

Simba SC yaijia juu TFF

Uongozi wa Simba umelishukia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) na kulitaka liwarudishie fedha Sh25 milioni ambazo walikatwa kama gharama ya uharibifu wa viti kwenye mchezo dhidi ya Kagera Sugar uliochezwa Oktoba 31 mwaka jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani